Amezaliwa Horini
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Amezaliwa Horini - Rose Muhando
...
(ile nyota ya ajabu yaonekana mashariki
imejaa ishara zote zakuzaliwa mfalme mama jusi hawakunyimwa kuifuata nyota ile walifika yuraselemu nao wakauliza
yuko wap yy aliyezaliwa mtawala wa wayahud ili tumsujudie ....yeeeee)×2
(mjin mwadaudi amezaliwa mkomboz atakae waokowa watu na dhambi zao
dunia shangilien amezaliwa mesia
hallelujah hallelujah sifa n kwa bwana)×2
(walikuwapo na wachungaji waliokaa makonden wakilinda kundi lao kwa zamu usiku malaika kawatokea kawaambia usiogope maana leo katika yuda amezaliwa mfamle )×2
chorus
(walipokwisha kusema haya malaika wa bwana waliimba wimbo ule wimbo usio na mwisho)×2
(utukufu juu kwa mungu mbinguni dunian iwe Aman kwa aliowaridhia)×2
see lyrics >>Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Amezaliwa Horini MP3 song. Amezaliwa Horini song from album Nyota Ya Ajabu is released in 2017. The duration of song is 00:06:59. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Amezaliwa Horini, Amezaliwa Horini song, Amezaliwa Horini MP3 song, Amezaliwa Horini MP3, download Amezaliwa Horini song, Amezaliwa Horini song, Nyota Ya Ajabu Amezaliwa Horini song, Amezaliwa Horini song by Rose Muhando, Amezaliwa Horini song download, download Amezaliwa Horini MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
mtoto3
Meshack Jacksongkfx2
we are together,,through the song found in this App
Phellow
mdundo kali
Marystella pascalks4hs
[0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f636]
Godfrey Michaeli
nice
717421704
the precious gifts that God gives. once given by God it's yours. God given gifts arent revoked....
[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]