Nani Nabii
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Nani Nabii - Bahati Bukuku
...
kifo chake Yesu kilitabiriwa,
Kuzaliwa na Kifo chake vilitabiriwa,
kifo chake Yesu kilitabiriwa,
Kuzaliwa na Kifo chake vilitabiriwa
Kabla ya kuzaliwa kwake mkombozi
Kabla ya kuzaliwa kwake Masihi
Nabii Isaya alishatabiri, Kwamba atazaliwa mwana mwanamume.
Nabii Isaya alishatabiri Kama atazaliwa mwana mwanamume, Jina lake ataitwa Yesu, jina lake ataitwa Masiha, Jina lake ataitwa Emanuel,
Similar Songs
More from Bahati Bukuku
Listen to Bahati Bukuku Nani Nabii MP3 song. Nani Nabii song from album Nani Aitikise Dunia is released in 2017. The duration of song is 00:07:05. The song is sung by Bahati Bukuku.
Related Tags: Nani Nabii, Nani Nabii song, Nani Nabii MP3 song, Nani Nabii MP3, download Nani Nabii song, Nani Nabii song, Nani Aitikise Dunia Nani Nabii song, Nani Nabii song by Bahati Bukuku, Nani Nabii song download, download Nani Nabii MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
Alice Charoxajxp
SAMUEL PAULu03ov
huyo ndoo Bahati mwana wa Bukuku dah nyimbo saafi za mafundisho jaman.i lo❤️ Bahati mwaaaaah
Charty Tony
mmmh hapa bahati ulikuwa vizuri sana mama fanya cover plsSauti ya dhahabu barikiwa sana
david omandiedsh1
huu wimbo jamani umenigusa sana......sijui nikushukuru vipi kwa nyimbo taaaaamu unazoziandika wewe
CHRISANTUS OWINO
so lit[0x1f628]
104256481
amen
[0x1f641][0x1f641]