![Hasira ft. Hamadai](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/12/ffe48efcc1f94fc98902d3f2b6a11322_464_464.jpg)
Hasira ft. Hamadai
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Hasira ft. Hamadai - Nay Wa Mitego
...
FREE NATION .....
HEY
THE TRUE BOY IN DE BUILDING , RAISI
OYA X2 KUMEKUCHA WANANGU TUPENI SHUKA
MKIENDELEA KULALA MTASHANGAA TU UMEUZWA MTAANI MAMBO HEKAHEKA ,MASHOGA WANAONGEZEKA VIDUME TUNAHESABIKA OYAA MWAMBIENI MAMA KITAANI KUNA NJAA VITU VIMEPANDA BEI NI BALAA, MFUKONI MAPOCHI YAMECHAKAA
YAPO KAMA PAMBO HAYANA CHAPAA
,OYAA WANANGUe EEEH! SIKU HIZI WAVUTA BANGI NI WAKINA DADA We E! Oya majita Ee Eeh!
YAANI KUNA WANAUME NAO WANADANGA AHAAH! YEAH
CHORUS; HASIRA
see lyrics >>Similar Songs
More from Nay Wa Mitego
Listen to Nay Wa Mitego Hasira ft. Hamadai MP3 song. Hasira ft. Hamadai song from album Hasira is released in 2022. The duration of song is 00:02:51. The song is sung by Nay Wa Mitego.
Related Tags: Hasira ft. Hamadai, Hasira ft. Hamadai song, Hasira ft. Hamadai MP3 song, Hasira ft. Hamadai MP3, download Hasira ft. Hamadai song, Hasira ft. Hamadai song, Hasira Hasira ft. Hamadai song, Hasira ft. Hamadai song by Nay Wa Mitego, Hasira ft. Hamadai song download, download Hasira ft. Hamadai MP3 song
Comments (49)
New Comments(49)
TWEVE GB
eurastus Marco
nakuelewa sana
officialchuritz.66
[0x1f607]
Tiffany cj75u
mr nay[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618]
Ibrahim Felixe32ue
naipenda kaz zako wewe na roma na sitamina wote semen oyooooooo?
naipenda kazi yako wewe na stamina na roma pigeni kazi
Ibrahim Felixe32ue
naipenda kazi yako wewe na stamina na roma pigeni kazi
kobra maajabu
du yani katika wasaniii wanao gusa mioyo ya watanzania huyu niwakwanza du
150414457
nakubaly sana mtu ambae anasema ukwel uyu jamaa na roma hahahah sio pw
omaryrxxtr
Raisi[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
omaryrxxtr
Uyoooo ndo raisii wa kitaaa tusemee baba
Bright 2it7w
Rais wa kitaaaa,,,,Respect
Kassimu4l5li
Namuelewa ssana uyu mwamba
[0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f604][0x1f601][0x1f601][0x1f601][0x1f601]