ZAWADI YANGU
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
ZAWADI YANGU - JOH PRAISE
...
Mzee wa siku mtunza agano
Mwanzo wa majira yote wewe ni mwema aaah
Uliumba mbingu ukaumba dunia aaah
Na viumbe vyote vilitukuze jina lako
Kwa mfano wako uliniumba mimi iiih
Ukanipa mamlaka niitawale dunia aaah
Na tena umenipa nafasi, niishi mpaka leo hii
Hivi nitakulipa nini we Mungu
Upendo wako wa ajabu ulinipenda hata mimi niliyopoteza nafasi ya wokovu
see lyrics >>Similar Songs
More from JOH PRAISE
Listen to JOH PRAISE ZAWADI YANGU MP3 song. ZAWADI YANGU song from album ZAWADI YANGU is released in 2022. The duration of song is 00:05:57. The song is sung by JOH PRAISE.
Related Tags: ZAWADI YANGU, ZAWADI YANGU song, ZAWADI YANGU MP3 song, ZAWADI YANGU MP3, download ZAWADI YANGU song, ZAWADI YANGU song, ZAWADI YANGU ZAWADI YANGU song, ZAWADI YANGU song by JOH PRAISE, ZAWADI YANGU song download, download ZAWADI YANGU MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
150007606
i like it