ZAWADI YANGU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
ZAWADI YANGU - JOH PRAISE
...
Mzee wa siku mtunza agano
Mwanzo wa majira yote wewe ni mwema aaah
Uliumba mbingu ukaumba dunia aaah
Na viumbe vyote vilitukuze jina lako
Kwa mfano wako uliniumba mimi iiih
Ukanipa mamlaka niitawale dunia aaah
Na tena umenipa nafasi, niishi mpaka leo hii
Hivi nitakulipa nini we Mungu
Upendo wako wa ajabu ulinipenda hata mimi niliyopoteza nafasi ya wokovu
Umenipa na hii nafasi, niishi mpaka leo hii
Hivi nitakulipa nini we Mungu
Upendo wako wa ajabu ulinipenda hata mimi niliyopoteza nafasi ya wokovu
Oooh (ooh) Oooh (ooh) Oooh (hii) hii ni zawadi yangu kwako
Oooh (ooh) Oooh (ooh) Oooh (hii) hii ni zawadi yangu kwako
Nilisifu jina lako
Niziimbe sifa zako
Nilisifu jina kako
Niziimbe sifa zako
Na hii ndo zawadi yangu
Naungana nao ? kulisifu jina lako kusujudu mbele zako
Nasimama na kwa ujasiri kuhubiri jina lako na ukuu wa jina lako
Natoa na huu mwili wangu iwe kama dhabihu ya kushukuru machoni pako
We nguvu shidani (Bwanaaa)
Hodari vitani (Bwanaaa)
Jiwe la pembeni wastahili heshima
We nuru gizani (Bwanaaa)
Tumaini hofuni (Bwanaaa)
We maji jangwani wastahili heshima aaaaaah oooouuuuh
We nguvu shidani
Hodari vitani
Bwanaaaaaah aaaaah
Oooh (ooh) Oooh (ooh) Oooh (hii) hii ni zawadi yangu kwako
Oooh (ooh) Oooh (ooh) Oooh (hii) hii ni zawadi yangu kwako
Nilisifu jina lako
Niziimbe sifa zako
Nilisifu jina kako
Niziimbe sifa zako
Na hii ndo zawadi yangu
Ni kama manukato yangu kwako Bwana aaah
Ili mataifa wakujue yahweh eeeh
Yani niimbe nikusifu yawe peke yako
Ooh mpaka mwisho wa dunia weeee eh
Ooooooh Oooh Ooooh Oooh
Ooooooh Oooh Ooooh Oooh
We nguvu shidani
Hodari vitani
Bwanaaaaaah aaaaah
(Gift Godbless)