Symptoms
- Genre:Soundtrack
- Year of Release:2022
Lyrics
Symptoms - Eujowah_ke
...
Symptoms Eujowah Baby hi hii, ndani ya penzi lako unanipa ma symptoms *4 sympto sympto we hee, symptoms ndani ya penzi lako, symptoms kwako silali we hee, symptoms ugonjwa baby symptoms sina hela weeh nalala nja, najua siku moja mola atanijalia vumilia weeh, sioni raha usipo nipa Raha Nani atanipa we ni Wangu njoo(njoo) vumilia njoo(njoo) give me crazy love(love) I love you baby we ni Wangu njoo(njoo) nakupenda njoo(njoo) give me crazy love(love) I love you baby(baby...) sympto sympto we hee, symptoms ndani ya penzi lako, symptoms kwako silali we hee, symptoms ugonjwa baby symptoms najua sielewi nieleze nielewe umemtaka umenitaka Kwa nini kama penzi nilikupa, moyo Wangu nikakupa umesahau pale tulipitoka baby babiiih , symptoms, symptoms mapenzi mapenzi iih, symptoms, symptoms baby come come, I love you punguza mashaka nakupenda weh baby come come, I love you punguza mashaka nakupenda weweeeh sympto sympto we hee, symptoms ndani ya penzi lako, symptoms kwako silali we hee, symptoms ugonjwa baby symptoms *3
Similar Songs
More from Eujowah_ke
Listen to Eujowah_ke Symptoms MP3 song. Symptoms song from album Symptoms is released in 2022. The duration of song is 00:03:39. The song is sung by Eujowah_ke.
Related Tags: Symptoms, Symptoms song, Symptoms MP3 song, Symptoms MP3, download Symptoms song, Symptoms song, Symptoms Symptoms song, Symptoms song by Eujowah_ke, Symptoms song download, download Symptoms MP3 song