![Nimpe Nini ft. Fid Q](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/16/c1be45f4e8c34fad86c26fb618061475_464_464.jpeg)
Nimpe Nini ft. Fid Q
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2022
Lyrics
Nimpe Nini ft. Fid Q - Tunda Man
...
Mako chaa
Alie nifunza nisi mtrust kicheche ni changu doa na uyu sio demu mapepe anastaiki pete ya ndoa zaidi ya iki nimpe nini? Najiulizi jibu sina mi siwafichi nipo feti lakini sijiamini mtu mzima
Tundaa
Analangu ya mchumali mtoto ukimuona anang’aa anapo katiza kila mmoja anashangaa
mwenzenu mi mi tunda nakosa ujasili nimpeni ni ili aweze kuwa namimi*2
Yani nachoka tunda mani nimpe nini nguvu na nafsi zimeshindwa kujiamini wanamsumbua wenye uwezo zaidi yamimi nitampa nini kipato changu cha chini me najiuliza nimpe nini ili atulie asiende kwa mwingine abaki na miee aya mapenzi mimi ndasafishwa miee waende kunizika wanifukie naona raha uongozana na mimi nakosa raha ukiondoka ukiniacha mi moyo wangu paaa
Analangu ya mchumali mtoto ukimuona anang’aa anapo katiza kila mmoja anashangaa
mwenzenu mi mi tunda nakosa ujasili nimpeni ni ili aweze kuwa namimi*2
Similar Songs
More from Tunda Man
Listen to Tunda Man Nimpe Nini ft. Fid Q MP3 song. Nimpe Nini ft. Fid Q song from album Tunda is released in 2022. The duration of song is 00:03:36. The song is sung by Tunda Man.
Related Tags: Nimpe Nini ft. Fid Q, Nimpe Nini ft. Fid Q song, Nimpe Nini ft. Fid Q MP3 song, Nimpe Nini ft. Fid Q MP3, download Nimpe Nini ft. Fid Q song, Nimpe Nini ft. Fid Q song, Tunda Nimpe Nini ft. Fid Q song, Nimpe Nini ft. Fid Q song by Tunda Man, Nimpe Nini ft. Fid Q song download, download Nimpe Nini ft. Fid Q MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
Mr Q0j3b1
kejasnnfc
tundamani vip lakin
jacon255
nice song[0x1f633][0x1f633]
Benjan Mpengo
nakubal sana
unyama mwingi