- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Utukufu - Tumshangilie Bwana
...
uutukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni Na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza twakushuru kwa ajiri ya utukufu wako mkuu
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni Na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
ewe mungu ndiwe mfalme wa mbiguni baba mwenyezi ewe bwana yesu christuwa pekee mwana was baba
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni Na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
ewe yesu mwana kondoo wa mungu mwana wa baba ewe mwenye kuziondoa dhambi zetu tuhurumie
"utukufu juu Kwa mungu utukufu juu mbiguni na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
ewe mwenye kuziondoa za dunia dhambi za watu ewe mwenye rehema nyingi upokee mombi yetu
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
uketie kuume kwake mungu baba tuhurumie kwa kuwa ndiwe uliye pekee yako mtakatifu
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
see lyrics >>Similar Songs
More from Tumshangilie Bwana
Listen to Tumshangilie Bwana Utukufu MP3 song. Utukufu song from album Liturgical Hymns Vol. 2 is released in 2019. The duration of song is 00:03:01. The song is sung by Tumshangilie Bwana.
Related Tags: Utukufu, Utukufu song, Utukufu MP3 song, Utukufu MP3, download Utukufu song, Utukufu song, Liturgical Hymns Vol. 2 Utukufu song, Utukufu song by Tumshangilie Bwana, Utukufu song download, download Utukufu MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Ann Murithihae2b
very ok