- Genre:Pop
- Year of Release:2022
Lyrics
Ananiekea geti kali ati ninyenyekee huko kwao nisitembelee
Ati niheme hizo paja nisinyemelee pia Mapenzi nisitegemee huh
Ka ni lebo naeza kushonea kitenge naeza simamia ata wera usipige
Mi si Burukenge, shikilia bahasha barikiwa mi ni blesser kwachu ndai pewa keja na
Biz naeza kutingulia kadhaa pori iko seti sikupotezei masaa
Mama karibia the mans shida zako si kibarua mi ntatatua
Bonge la campaign si wajua nimetua big fish kwa bahari mi ni poppa
Mia mia imma keep it 100 mia mia akudai nakudai nakudaaai
Aye miss phatty phaatty wanimurda cheki vile unavo twist and turn up
Hotter than hotter walai unamurda wanimaliza babe girl unanibuaga tu
Aye miss phatty phaatty wanimurda cheki vile unavo twist and turn up
see lyrics >>Similar Songs
More from Don Poppa
Listen to Don Poppa Walai MP3 song. Walai song from album KANTOPOP -VOL 1 is released in 2022. The duration of song is 00:02:21. The song is sung by Don Poppa.
Related Tags: Walai, Walai song, Walai MP3 song, Walai MP3, download Walai song, Walai song, KANTOPOP -VOL 1 Walai song, Walai song by Don Poppa, Walai song download, download Walai MP3 song