
Utajibu Nini?
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2022
Lyrics
Utajibu Nini? - Balaa Mc
...
wee moshizo utawauwa utajibu nini ,siku ikifika utasema nini we ndungu yangu utajibu nini siku ikifika utasema nini weweeee ebu Kwanza vuta picha palapanda ishalia,milango yatoba ishafungwa wapi utakimbilia mwenzangu upo geto uja oa umekumbatia uluba ulikesha baa mkononi Una chupa ya bia we dada utamweleze mini mungu wako Una danga nje wakati ndani UN's mume wako we Baba ume yelekeza familia yako pes Una Maliza club kutazamia Matako
Similar Songs
More from Balaa Mc
Listen to Balaa Mc Utajibu Nini? MP3 song. Utajibu Nini? song from album Utajibu Nini? is released in 2022. The duration of song is 00:04:37. The song is sung by Balaa Mc.
Related Tags: Utajibu Nini?, Utajibu Nini? song, Utajibu Nini? MP3 song, Utajibu Nini? MP3, download Utajibu Nini? song, Utajibu Nini? song, Utajibu Nini? Utajibu Nini? song, Utajibu Nini? song by Balaa Mc, Utajibu Nini? song download, download Utajibu Nini? MP3 song
Comments (49)
New Comments(49)
khaled de swaggzz
Abdul 7fya6
Kijana unajua unsema kweli

Abdul 7fya6
Unajua sanaaaaaa
Fahadhcqay
Ukweli unauma nalijuwa hilo,na ndo mana hii nyimbo sikuanza na olilolilo [0x1f637][0x1f637][0x1f637][0x1f637]bless sana dam yetu
mudrick wazil
oy we bloo umeua
mil_smile
mwenyez Mungu tujalie mwisho mwema[0x1f640][0x1f625]
jovy hammy
uko juu kk baraa nakubal
Agustino My fother
Amin
145413200
rs simb@
Simon malisa0knmp
mwanangu unyamasana naitwa jahopacha wadogoflani kamautakkuaumenipata iyosongi mpakayesu anacheka mbinguni

barakahy984
daah bonge la song mwanang
jamaniii sijuii itakuaaajeeeeeeeh