- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Natamani - Kifaru Insome
...
oouuuyeeeh,
Kifaru Insome
The girl in my dreams, my life,she is my fantasy,
My heart’s desire, my remedy,
Natamani nimwambie nampenda, nahofia atayakataa mapenzi,
Nimemfuata kila kona akienda, kivuli mpenzi mtazamaji,
Amenitia mawazo nimekonda, navyomwogopa utasema ni polisi,
Maua na zawadi zimeenda ila kutoka kwa nani hajui!
Nani aliyaumba mapenzi yameninogea,
Namwogopa ninayemuenzi sijajongea!
see lyrics >>Similar Songs
More from Kifaru Insome
Listen to Kifaru Insome Natamani MP3 song. Natamani song from album My Music My Love is released in 2022. The duration of song is 00:03:40. The song is sung by Kifaru Insome.
Related Tags: Natamani, Natamani song, Natamani MP3 song, Natamani MP3, download Natamani song, Natamani song, My Music My Love Natamani song, Natamani song by Kifaru Insome, Natamani song download, download Natamani MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Neema Mbusirogt8nw
bravina3zfv
instrumental yake?
bravina3zfv
this is my favourite !!
R_Mbogai22
hivi kweli nani kayaumba mapenzi? wimbo mtamu sana
Moctoten Dmoses
natamani... tamuuuu[0x1f641]
wow this is so sweet shem