- Genre:Others
- Year of Release:2021
Lyrics
Akili yangu
Ishachomeka joto la tanuri
Maisha yangu
Bado yanivuruga
Vipaji vyangu
Yani kama vimelaliwa kwa kaburi
Juhudi zangu
Bado zanidodea
Naona joto laniunguza
Kijana mdogo ila kama ajuza
Natumwa boko naenda buza
Kichwani maluwe luwe
see lyrics >>Similar Songs
More from Foby
Listen to Foby JOTO MP3 song. JOTO song from album FOBY (M,M & I (Me Myfelf And I, EP) is released in 2021. The duration of song is 00:03:15. The song is sung by Foby.
Related Tags: JOTO, JOTO song, JOTO MP3 song, JOTO MP3, download JOTO song, JOTO song, FOBY (M,M & I (Me Myfelf And I, EP) JOTO song, JOTO song by Foby, JOTO song download, download JOTO MP3 song