- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Teveva - Timam Evans
...
Maisha bila Yesu kitendawili itawezanaje?
Ilhali nimezungukwa na pingamizi kila mahali
Ooh nikiwa nawe ni sure bet
We ni kinga siwezi fret
Nikiwa na Yesu ndani
Anatembea nami
Nikiwa hapo uweponi Mwako nakufa ganzi
ooh kwa nyumba Yako heri nikuwe kijakazi
Na kama itanilazimu nichunge lango
Mimi bora niwe hapo
see lyrics >>Similar Songs
More from Timam Evans
Listen to Timam Evans Teveva MP3 song. Teveva song from album Ibada Kitaa is released in 2022. The duration of song is 00:03:48. The song is sung by Timam Evans.
Related Tags: Teveva, Teveva song, Teveva MP3 song, Teveva MP3, download Teveva song, Teveva song, Ibada Kitaa Teveva song, Teveva song by Timam Evans, Teveva song download, download Teveva MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
178288942
Sammy Johnson@55
bila yeye utateveva..
Keith Sila
[0x1f605] Nikiwa solo sitoboi naisema wazi... ndio maana utanipata uweponi Mwako nikimiminikaaa! [0x1f623][0x1f60d]
❤️❤️❤️