
Dear Lord ft. Beda Andrew
- Genre:Trap
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Lyrics
Dear Lord ft. Beda Andrew - Fredrick Mulla
...
Dear baba, nahitaji sana msaada, Kuna mambo yananifanya nasahau mpaka ibada, Nataka kuwa high na neno lako sio ngada mi nichombo chako niendeshe nienende unavyotaka unaupendo usio na mipaka
Mara ngapi nakosea unantakasa, Mara ngapi sioni mbele napapasa, na hujawahi kuniacha kila jambo ni kwa neema zako hata nikiwa nasuffer
Niko bize kuwatambia watu waone ninaflex, wakati imani yangu kwako haiko to the next, level nayotafuta ni, kwenda international nasahau ni kwa kudra zako naeza iona kesho afu isiwe fresh
Najikuta mkamilifu niko special, uzuri wangu mbele ya macho yako ni Churchill show, kichekesho, nifanye kuwa kama instrumental nikuimbie kila siku, dini ya kweli ni upendo nikupende kila siku, nimpende kila mtu il nsipende kila kitu kila kitu ni kwa upendo wako, niamini hilo nkishinda kwanza nkushukuru, nsijione hero unipe moyo wa hekima nisisahau, nimheshimu kila mtu nisimdharau, Mana maisha ni nahau, huwez jua ni Nani atakayekutoa soon ridhiki afu kesho nikapanda dau
Mungu baba, Mungu baba,
Naomba uwe nami, naomba uwe nami, yeeah
Usiniache safarini
Utambee nami, utembee nami baba
Dear Fredy, najua uko ready
Muda wako ndo huu so get ready
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Fredrick Mulla Dear Lord ft. Beda Andrew MP3 song. Dear Lord ft. Beda Andrew song from album Moro Jazz is released in 2021. The duration of song is 00:03:19. The song is sung by Fredrick Mulla.
Related Tags: Dear Lord ft. Beda Andrew, Dear Lord ft. Beda Andrew song, Dear Lord ft. Beda Andrew MP3 song, Dear Lord ft. Beda Andrew MP3, download Dear Lord ft. Beda Andrew song, Dear Lord ft. Beda Andrew song, Moro Jazz Dear Lord ft. Beda Andrew song, Dear Lord ft. Beda Andrew song by Fredrick Mulla, Dear Lord ft. Beda Andrew song download, download Dear Lord ft. Beda Andrew MP3 song