![Jali ft. Nyashinski](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/09/4c07e228e3614bcfb0dd7eee9c4f4f74_464_464.jpg)
Jali ft. Nyashinski
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Jali ft. Nyashinski - Sanaipei Tande
...
rangi ya mdomo kwenye shati ni na uhakika ile marashi sio yake bado aja kwangu kitandani akitaka tumbandane (i can't believe that shit), lisiti kila kitu mbili amejaa maalama kwenye mwili,bado aja kwangu kitandani akitaka tumbandane (i can't believe that shit), Hana mnale Hana mnala na sio siri na sio habari ,Hana mnale Hana mnala wala haficha sio habari ,niliambiwa akupendaye atakucheati hadharani, niliambiwa akupendaye atakustiri hadharani ,jaribu kunindanganya kama wanijali,( kama wanijali *2) (jali)*3 mmhh! (jali)*3 mmhh!
Yeah! yeah! yeah! ata saa ile sindanganyi unasema mh nandanganya, utaskiza aje na maskio yako ushazimba , na macho yako yanaona vitu na hakuna kitu unafanya , hapo ndipo tumefikana , nakuongelesha nikiona ukiona niko guilty na haimati kitu nitasema , ndani ya roho inaumizwa , naskia wivu nikiona wale wanapendana bila kudungushana , vile inafaa , vile unataka kufanya fanya leo leo kanapanda cheo cheo nipande kanashuka basi nitafute stagi ya maa yeah! jifanye kama unakaa pia utaniamini uone vile na kuchangia my .
jaribu kunindanganya kama wanijali eh! kama wanijali ,*2jali jali jali mmhh! jali jali jali mmhh!
never let u down, never will sanaipe na nyash to the chill out to chill out
Hana mnale hana mnala na sio siri na sio habari ,
Hana mnale Hana mnala wala hafichi sio habari
jaribu kunindanganya (kama wanijali,kama wanijali)*2 (jali) *3 mmh! (jali)*3 mmh! (jali)*3
Similar Songs
More from Sanaipei Tande
Listen to Sanaipei Tande Jali ft. Nyashinski MP3 song. Jali ft. Nyashinski song from album Nabo is released in 2021. The duration of song is 00:03:27. The song is sung by Sanaipei Tande.
Related Tags: Jali ft. Nyashinski, Jali ft. Nyashinski song, Jali ft. Nyashinski MP3 song, Jali ft. Nyashinski MP3, download Jali ft. Nyashinski song, Jali ft. Nyashinski song, Nabo Jali ft. Nyashinski song, Jali ft. Nyashinski song by Sanaipei Tande, Jali ft. Nyashinski song download, download Jali ft. Nyashinski MP3 song
Comments (57)
New Comments(57)
Romantic Music Label
underrated driller
+254 to the world,naipenda sana.
rose7d8gk
I like the idea of the song
George i07kb
good song
GA$Hh5iy1
Nyashinski is living the story of my life
Kevin Onyango2idlk
tamu sana
pepeta4qche
strong hit napenda vile nyash anapik
Nas_maleek
Its a banger
CHARLES WACHIRAikcxz
wow[0x1f641][0x1f641][0x1f641][0x1f641]
Nicokip
nice
Rachel Amenya
sanaipei nd nyash thts lit[0x1f63f][0x1f63f]way to 2030[0x1f63f]
Felly Star
sanaipei to the word ❣❣
Shinski......!!!! ni noma aseeeeee[0x1f607][0x1f607][0x1f607]