Shukrani
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Shukrani - Paul Clement
...
Mimi ni yule mmoja,Kati ya wale kumi Uliyowaponya ukoma kwako nimerudi,wale tisa sijuii Ila mimi nimekuja kusema Asanteeeeh.najuliza nikulipe nini kwa yote uliyonitendea Mimi.Baba Ni mengi siwezi lipa ata kwa asenti..natafuta namna nzuri ya kukushukuru ninakosa, natafuta maneno mazuri ya kukushukuru nakosaa...eeeh! baba nikulipe nin!?, nikulipe nini!? uliyonitendea ni mengi siweziii kuhesabu Ila nina neno mojaa,ahsanteee!!. uliyonitendea ni mengi ila nina moja ahsanteeeee!..x2 uliyonitendea ni mengi siwezi kuhesabu ila nina moja ahsanteee!...x2 ninachojuaga huwa unaongezaga,Kama ukimpa kitu halafu akakushukuru,nachujua huwa unaongezaga zaidiiiix2.sikushukuru tu kwa haya uliyotendaa, Ila ata kwa kwa Yale ujayatenda huku nikiamini shukuru sauti ya imani.fedhaaaa!! (haitoshi kukushukuru,)dhahabuuuu!( haitoshi kukushukuru) eeh!! nikulipe niniiii!?. uliyonitendea ni mengi,siwezi kuhesabu ila nina neno moja ahsanteeeee!...x2 shukurani imebebwa kwenye neno moja ahsanteeeee x2 shukrani imebebwa kwenye neno moja ahsanteeeee x2( guitar )oooh ooh! added by vickymars
Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement Shukrani MP3 song. Shukrani song from album Shabaha is released in 2021. The duration of song is 00:07:28. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: Shukrani, Shukrani song, Shukrani MP3 song, Shukrani MP3, download Shukrani song, Shukrani song, Shabaha Shukrani song, Shukrani song by Paul Clement, Shukrani song download, download Shukrani MP3 song
Comments (11)
New Comments(11)
Joyce Sumari9ycwu
Hottykid 02
Woow so beautiful
Effieckjty
Ahsante...
John Ulimwengu
ubarikiwe sana brother
ᴊᴏᴇʟ
[0x1f60d][0x1f60d]
SUZY MAGAMBO
❤❤❤
Ant katoto
Acha wewe duuh mziki mzuri atari
Holydan Chris
bro[0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
goodnessf2l87
❤❤❤❤❤❤
Erick Saria
[0x1f618][0x1f618]
Ezra remy
so grateful, i like it ♥️
soo nice may God bless ue