Nimekusudiwa Na Mungu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Nimekusudiwa Na Mungu - Enock Jonas
...
Mungu anapotaka, kupeleka atua nyingine, Mungu anapotaka, kukuvusha mgambo ya pili Shetani uwinua watu kulipinga kusudi la Mungu ili usifikie atima yako.
Lakini ashukuriwe Mungu wetu wa mbinguni, , matusi ya Goliathi kulitokana taifa la Mungu ya kumzuia Daudi kuwa Mfalme. Matusi ya Penina alio mtukana Ana, aya kumzuia Ana kumpata mtoto Samuel.
Waweze kukutana na jambo linalokukatisha tamaa waweze kuwa ndugu zako wa nao pinga mafanikio yako usiogope hao watumika kuwa daraja kupeleka kwenye atima ya maisha yako.
Mungu anapotaka kutambulisha ndugu yangu ni lazima majaribu yainuke mbele yako, Mungu utaruhusu ili apate kujitukuza kama vile kwa Ayoub alivyo jitukuza:
Call: Acha wao watumike daraja
Resp: Niende kwenye atima yangu
Call: Kwa kebei zao
Resp: Nifike kwenye kusudi la Mungu
Call: Acha wao watumike daraja
Resp: niende kwenye atima yangu
see lyrics >>Similar Songs
More from Enock Jonas
Listen to Enock Jonas Nimekusudiwa Na Mungu MP3 song. Nimekusudiwa Na Mungu song from album Best Of Mzee Wa Zunguka is released in 2019. The duration of song is 00:05:05. The song is sung by Enock Jonas.
Related Tags: Nimekusudiwa Na Mungu, Nimekusudiwa Na Mungu song, Nimekusudiwa Na Mungu MP3 song, Nimekusudiwa Na Mungu MP3, download Nimekusudiwa Na Mungu song, Nimekusudiwa Na Mungu song, Best Of Mzee Wa Zunguka Nimekusudiwa Na Mungu song, Nimekusudiwa Na Mungu song by Enock Jonas, Nimekusudiwa Na Mungu song download, download Nimekusudiwa Na Mungu MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
monaa0jvj
amina bwana yesu asifiwe?[0x1f60d][0x1f60e]