Walikuwepo
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Walikuwepo - Best Naso
...
mapenziiii bahariii bahariii
nimeandika kwenye dayariii
Tena upana wake sijauficha
nimeufafanua kiundaniii
Tena mapenz nifumbo mama
halinaga hodariii
sasaivi stakitena maisha yakuwa single
chakututenganisha labda kifo
wengi wanajiuliza why Mimi niwe na weweee baby sinapesa Sina nyumba Sina gari umenipendea ninii nimetuma barua imefika kwenu nangoja majibu yawazazi wako je ukotayari tayari kwenda kwetu mana mi Niko tayari kujakwenu kwabuku ingawa wambea wanasema mengi ila wasikutiishe Toka enzi za adamu nahawa walikuepo enzi zatangu na tangu walikuepo wakuharibu mipango wambeaaa enzi za tangu na tangu wenyerohozawivu wapiga uzushi na majungu wambeaaaaa aaaaaaaa mmmm aaaaaa
Similar Songs
More from Best Naso
Listen to Best Naso Walikuwepo MP3 song. Walikuwepo song from album The Gift Of Life is released in 2021. The duration of song is 00:03:04. The song is sung by Best Naso.
Related Tags: Walikuwepo, Walikuwepo song, Walikuwepo MP3 song, Walikuwepo MP3, download Walikuwepo song, Walikuwepo song, The Gift Of Life Walikuwepo song, Walikuwepo song by Best Naso, Walikuwepo song download, download Walikuwepo MP3 song
Comments (27)
New Comments(27)
chire jonasi
sarahv9jbu
waoh! amazing so mmmwaaaah
Docta Lukas Molel Maiko
aixee unatxha xan
omenikoleya ssana iyo
julieth bint hnd6v
omenikoleya ssana iyo
mussa sostenes 40d5e
[0x1f627][0x1f627][0x1f627]
said jaffar
best nasor [0x1f636][0x1f636][0x1f636][0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f621][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e]
Jane Mtengahq0na
kaliiii
mrsinia
Naqubar sana nasso
Abeldinego George
Makunja Johne8bvb
naikubal hiiiiii brooo
jackisoni mpina
kabisa
2ko pamoja sana kakaa