- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Ediga - Best Naso
...
Mmmmmhhhhh!
Aaahaaaaa
mmmmmhhhhh
kabla ya kifoooo, eheeee!
Kabla ya kifoooo (pasuka pamoja records)
kwanza kabla ya kifo kilichoanza ni story za maisha,kabla ya kifo kilichoanza ni story za maisha
Alichosema Ediga kwamba twende the saka,alichosema aah Ediga kwamba twende the saka
nikauliza wapi kwa jina akanijibu geita,mtaani twapoteza time ni Bora twende kwenye machimbooo,tunaongea twacheka mara defender,askari wakashuka
walichosema hands up hapo mlipo hakuna kuondoka
Nlichojua ndo zile shikashika za siku zoteee,mchizi wangu Ediga tujikaze tusiogopee,mara Afande akatoa sauti ilimuamuru Ediga ageuke nyumaaa
see lyrics >>Similar Songs
More from Best Naso
Listen to Best Naso Ediga MP3 song. Ediga song from album Kali Za Best Naso is released in 2020. The duration of song is 00:04:29. The song is sung by Best Naso.
Related Tags: Ediga, Ediga song, Ediga MP3 song, Ediga MP3, download Ediga song, Ediga song, Kali Za Best Naso Ediga song, Ediga song by Best Naso, Ediga song download, download Ediga MP3 song
Comments (20)
New Comments(20)
B, boy mkali
selina nyongole3j526
[0x1f618][0x1f618][0x1f618][0x1f618]
Official Qamanda
huyu ndio bora sema ss tumebadilika tumependa miziki ya matusi kuliko ya mafundisho kama hizi salute kwako best nassor your de best artist in Africa
msaniii wetu pendwa kanda ya ziwaa mwamba hana mambo mengi wwala apendi kiki za kishamba kishamba
silvester juma
msaniii wetu pendwa kanda ya ziwaa mwamba hana mambo mengi wwala apendi kiki za kishamba kishamba
ndulani
[0x1f63b][0x1f63b]
Agustino Josephd8mvg
atari xana
Salmu Jb
nzuri sana[0x1f628][0x1f630][0x1f630][0x1f630][0x1f630][0x1f630]
official_dullah
nyimbo kali sana kaka
Marymp9va
Nyimbo yangu pendwa snaa hii kila nikiisikiliza inanikumbusha mbali sna kipindi nipo na mjomba wangu alikuwa anapenda sana kuisikiliza mbaka nikaikalili na kuanza kuipenda daaa ni story ya kusikitisha nilikuwa hadi nalia et daa
Iffer Allenpyc1o
nakupenda san best naso saut yako tu jmnii
saudaqt436
kwel
Dorera
ni hatar[0x1f621]
[0x1f630]