Wewe Ni Mungu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Wewe Ni Mungu - Ambwene Mwasongwe
...
Instrunmental
Wewe ni Mungu, wewe ni Mungu wewe ni Mungu
Utabaki kua Mungu
Wewe ni Mungu, wewe ni Mungu wewe ni Mungu
Utabaki kua Mungu
Katika safari ya maisha (oooh)
Bila wewe bwana tusingeweza,
Maisha yenyewe haya kama mvuke (eeeh)
Tena yanyauka kama maua
Ila wewe bwana ni wa kudumu sana
see lyrics >>Similar Songs
More from Ambwene Mwasongwe
Listen to Ambwene Mwasongwe Wewe Ni Mungu MP3 song. Wewe Ni Mungu song from album Ombi Langu is released in 2021. The duration of song is 00:07:00. The song is sung by Ambwene Mwasongwe.
Related Tags: Wewe Ni Mungu, Wewe Ni Mungu song, Wewe Ni Mungu MP3 song, Wewe Ni Mungu MP3, download Wewe Ni Mungu song, Wewe Ni Mungu song, Ombi Langu Wewe Ni Mungu song, Wewe Ni Mungu song by Ambwene Mwasongwe, Wewe Ni Mungu song download, download Wewe Ni Mungu MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
KIPELELE
ndon't give up broo
Lexalzsoko
Muundo mzuri sana wa mziki wako ..nimependa sana hii nyimbo
ajbu san hiiiii nyimbo dah,mtumishi endelea kumsaka mungu ili nyimbo ziendelee kubadilisha maisha y watu kila utoapo mpya