Shukrani
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Shukrani - Paul Clement
...
Mimi ni yule mmoja, kati ya wale kumi
Uliowaponya ukoma, kwako nimerudi
Wale tisa sijui,
Ila mimi nimekuja kusema Asante
Najiuliza, Nikulipe nini
Kwa yote ulionitendea mimi,
Baba ni mengi,
Siwezi lipa hata kwa senti
Natafuta namna nzuri ya kukushukuru ninakosa
Natafuta maneno mazuri ya kukushukuru ninakosa
see lyrics >>Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement Shukrani MP3 song. Shukrani song from album Shukrani is released in 2021. The duration of song is 00:07:28. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: Shukrani, Shukrani song, Shukrani MP3 song, Shukrani MP3, download Shukrani song, Shukrani song, Shukrani Shukrani song, Shukrani song by Paul Clement, Shukrani song download, download Shukrani MP3 song
Comments (48)
New Comments(48)
Tina Mwampashe
peter_elias
ahsante
Philemon Emanuel
asante kwa kuniweka hai mpaka mda huu mimi ni .nani asante mungu
PEREZ NGARI
Asante mungu kwa matendo yako kwangu
timothyalex
Grory to God ☑️
Lexalzsoko
shukurani zako mungu wangu kwa ulionitendea ASANTE MUNGU.
dozen 12
SHUKURANI
Valentino Masimbacarwz
My best song of All time Ever
sina chakusema, iila shukrani[0x1f60d][0x1f60d]
Monalisa x6ta2
Umbalikiwe sana mtumishi wa Mungu
happy day fgw22
my admire be blessed much
Lil dney
ubarikiwe sana paul
asant bwana