Ukoloni (feat. Nash Mc)
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Ukoloni (feat. Nash Mc) - Bwajah & Pato
...
Naililia Africa Siasa za chuki
Kila napopita nakasirika napoona Damu nyeusi inamwagika
Hali inatisha usilewe Madaraka Utaanzisha vita
Waachie wenzio muda wako unapokwisha au umenunuliwa na Mabeberu unalinda maslahi Yao
Hii ni mpaka lini tuwasujudie wao
Umaskini unaongezeka na mali zipo kibao
Aah Tumestuka kumbe ni wenzenu mnatukandamiza na mnakula pekeyenu
Uhuru wa bendera umetawala bara Zima
Mwananchi yupo hoi amezama kwenye kina (Kina kirefu hatarudi zaidi ya Jina)
Njia za uchumi wamekamata wachina
see lyrics >>Similar Songs
More from Bwajah & Pato
Listen to Bwajah & Pato Ukoloni (feat. Nash Mc) MP3 song. Ukoloni (feat. Nash Mc) song from album Ukombozi is released in 2021. The duration of song is 00:04:21. The song is sung by Bwajah & Pato.
Related Tags: Ukoloni (feat. Nash Mc), Ukoloni (feat. Nash Mc) song, Ukoloni (feat. Nash Mc) MP3 song, Ukoloni (feat. Nash Mc) MP3, download Ukoloni (feat. Nash Mc) song, Ukoloni (feat. Nash Mc) song, Ukombozi Ukoloni (feat. Nash Mc) song, Ukoloni (feat. Nash Mc) song by Bwajah & Pato, Ukoloni (feat. Nash Mc) song download, download Ukoloni (feat. Nash Mc) MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Sidebale@
AT Man Don
Fact za kutosha humu, Daah.! Nimewakubali [0x1f60b][0x1f627]
hatar sanaa