- Genre:Pop
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Bado - B Classic 006
...
champion studios baby B classic 006 usione Kuna jina uko nje bado mwenzenu bado nakula kuhastle wengine yamejipa ila kwangu bado naimba sana na ninasema bado Na najaribu kujisaulishaaa bado wapi nlipokoseaa bado Nasimamisha fegi nagongeaa bado Na watu wananizomeaaa bado Inanichoma Kwa maini bado waongo sema nini bado wamenikalisha na chini bado eti kwao nini bado wananiona niko mjini,wanafikiri nimefika bado Na ndugu zangu kule kijijini daily wananiomba pesa bado. Na wakiniona niko na tuva wanafikiri nimetoka bado Na wakiniona niko na Nadia Sanaipei wanafikiri nimetoka bado Nilipojichanganya na wanangu wakasema dogo nitatoka bado Kuskiza mwazo ikawa kazi na mpaka sasa nangoja bado Na kama picha nimeposti bado video za garamu bado Hadi maneja anafosi bado makateli wananikosti bado raisi wametumwa kwangu bado wanatamani niwe chini bado wamenikalisha na chini bado eti kwao nini bado Wanaoniona niko mjini wanafikiri nimefika bado Na ndugu zangu kule kijijini daily wananiomba pesa bado Na wakiniona niko na tuva wanafikiri nimetoka bado Na wakiniona niko na Nadia Sanaipei wanafikiri nimetoka bado Na maheta mimi nawaombea bado na mablogger hamchoki kuniongea bado Na mafans Mimi nawagotea bado Kuna watu wananipotezea bado usingizi mm nakosaga,studio Mimi nakeshaga wamenikalisha na chini bado eti kwao mini bado wanaoniona niko mjini wanafikiri nimefika bado Na ndugu zangu kule kijijini daily wananiomba pesa bado Na wakiniona niko na tuva wanafikiri nimetoka bado Na wakiniona niko na Nadia Sanaipei wanafikiri nimetoka bado Nilipojichanganya na wanangu wakasema dogo nitatoka bado kuskiza mwazo ikawa kazi na mpaka sasa nangoja bado
Similar Songs
More from B Classic 006
Listen to B Classic 006 Bado MP3 song. Bado song from album Bado is released in 2021. The duration of song is 00:02:46. The song is sung by B Classic 006.
Related Tags: Bado, Bado song, Bado MP3 song, Bado MP3, download Bado song, Bado song, Bado Bado song, Bado song by B Classic 006, Bado song download, download Bado MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
Topister 1qdmx
MB Classic003
i support you bro wangu
141210482
like the music
Levis ivoam
Good Music , Hot Song
Sahil 254
kali sana bro
saumu kiwaka
uko juu...love your music
Patrick Ndungu Melale
B classic 006 to the world
Davidc6ggc
good quality song
[0x1f630][0x1f636][0x2728]