- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2016
Lyrics
Amore - Baby Madaha
...
.............. umekuwa nyota yangu wawaka amore nikivuta pumzi zangu ni wew...nikilala njozi zangu nakuota amore nikiwaza peke yng ni wako...amore amorei amore eee amore eee... na ukigusa moyo wng ni wewe amore uliebeba nafsi yangu ni wewe...hakuna wewe bila Mimi amore ulimwengu wote wajua ya kwamba ni wew... repeat chorus....Usiumwe usiugue uwe mzima daima usishiriki fitina binaadamu hawana wema...usisikilize ya watu penzi letu kulitupa na usibadili kipimo Cha mapenzi unayo nipa... usijechoka kunipenda ukaniacha mi yatima... amore kuwa huru usiugue moyo wako!! umekuwa nyota yangu wawaka amore nikivuta pumzi zangu ni wew...nikilala njozi zangu nakuota amore nikiwaza peke yng ni wako...amore amorei amore eee amore eee... na ukigusa moyo wng ni wewe amore uliebeba nafsi yangu ni wewe...hakuna wewe bila Mimi amore ulimwengu wote wajua ya kwamba ni wew... repeat chorus.........Sitokutoza ushuru nitawale mi ni wako Dunia ikizunguka penzi letu latembea..pesa nyumba nayo gari si mali kitu kwangu... hata niwe mi jangwani wewe ndio maji kwangu ,, nikose tumaini daima u pembeni nikiwa na huzuni wew furaha ya kweli, niliapo machozi unipa kifua chako..ata wote wanitenge wewe u Baki kwangu aah.....umekuwa nyota yangu wawaka amore nikivuta pumzi zangu ni wew...nikilala njozi zangu nakuota amore nikiwaza peke yng ni wako...amore amorei amore eee amore eee... na ukigusa moyo wng ni wewe amore uliebeba nafsi yangu ni wewe...hakuna wewe bila Mimi amore ulimwengu wote wajua ya kwamba ni wew... repeat chorus " una mapenz ya kweli yah usiyabadilii"
Similar Songs
More from Baby Madaha
Listen to Baby Madaha Amore MP3 song. Amore song from album Amore is released in 2016. The duration of song is 00:04:43. The song is sung by Baby Madaha.
Related Tags: Amore, Amore song, Amore MP3 song, Amore MP3, download Amore song, Amore song, Amore Amore song, Amore song by Baby Madaha, Amore song download, download Amore MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Charles Williamd24xc
DjMarco tz
[0x1f641][0x1f641]
houst_0659
amore [0x1f614]
wawòooooo