![Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/06/15/a0d98d252ee248a2ba2c12d48e30ec08.jpg)
Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy - Breeder LW
...
Anza kudance yaani kill them na style Anza kudance tena sana slow wine Anza kudance usichoke kuna time Yaani anza kudance mamii anza kudance Asha anza kudance Yeah, asha anza kudance Ashaanza kudance asha anza kudance Ey, Beat ikidrop tu, asha anza kudance Ongeza volume, asha anza kudance Deejay pull it right back, asha anza kudance Asha anza kudance asha anza kudance Beat ikidrop tu, asha anza kudance Ongeza volume, asha anza kudance Deejay pull it right back, asha anza kudance Asha anza kudance asha anza kudance Asha anza kudance yaani haana ata kasoro Vile unasonga ukiwa tipsy kidogo Na ulizaliwa bila spine kwa mgongo Nishatii nishakuweka kwa mpango Mi niko front row nakula kwa macho The way she moves si ni true ana passion Don't hesitate we nipee number yako Na hapa sitoki bila wewe hapo kando If you tryna vibe niko home niko solo Tutachachisha we the baddest combo Only you ndio utazima hii moto Zingusha kiuno bila mbio dogo dogo Anza kudance yaani kill them na style Anza kudance tena sana slow wine Anza kudance usichoke kuna time Yaani anza kudance mamii anza kudance Beat ikidrop tu, asha anza kudance Ongeza volume, asha anza kudance Deejay pull it right back, asha anza kudance Asha anza kudance asha anza kudance Beat ikidrop tu, asha anza kudance Ongeza volume, asha anza kudance Deejay pull it right back, asha anza kudance Asha anza kudance asha anza kudance Ju baby girl we ni kamuivo Ju baby girl we ni kamuivo Ju baby girl we ni kamuivo Amka udance yaani hivo hivo Ju baby girl we ni kamuivo Ju baby girl we ni kamuivo Ju baby girl we ni kamuivo Amka udance yaani hivo hivo TK bad man vile mi hu operate Alpha kile nadai naget And if you bad then I'm glad nitakutaste Ikiwa ndani basi baby naza eja****e Rada safi magizani past 8 Fika haraka utanipata on the wait Na ka ni mechi mi ndio player mi ndio ref Mi ndio manager siezi kosa kuku sex Body and chest umeni impress Unaeza flex coz you my next Nishawatoka wote ni ma ex And baby girl no lie we ni empress Anza kudance yaani kill them na style Anza kudance tena sana slow wine Anza kudance usichoke kuna time Yaani anza kudance mamii anza kudance Asha anza kudance Yeah, asha anza kudance Ashaanza kudance asha anza kudance Beat ikidrop tu, asha anza kudance Ongeza volume, asha anza kudance Deejay pull it right back, asha anza kudance Asha anza kudance asha anza kudance Beat ikidrop tu, asha anza kudance Ongeza volume, asha anza kudance Deejay pull it right back, asha anza kudance Asha anza kudance asha anza kudance Ju baby girl we ni kamuivo Ju baby girl we ni kamuivo Ju baby girl we ni kamuivo Amka udance yaani hivo hivo Ju baby girl we ni kamuivo Ju baby girl we ni kamuivo Ju baby girl we ni kamuivo Amka udance yaani hivo hivo Anza kudance yaani kill them na style Anza kudance tena sana slow wine Anza kudance usichoke kuna time Yaani anza kudance mamii anza kudance
Similar Songs
More from Breeder LW
Listen to Breeder LW Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy MP3 song. Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy song from album Bazenga Mentality is released in 2021. The duration of song is 00:03:49. The song is sung by Breeder LW.
Related Tags: Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy, Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy song, Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy MP3 song, Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy MP3, download Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy song, Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy song, Bazenga Mentality Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy song, Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy song by Breeder LW, Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy song download, download Ashaanza Kudance ft. Odi wa Murang'a & Maandy MP3 song
Comments (4)
New Comments(4)
kevctv1l
Danati music
this is the the thing now is alredy in my mentality
Gerrald Lyon
[0x1f60d][0x1f60d][0x1f60d][0x1f63f][0x1f63f]
its_keitany
kile imebaki ni kujengewa statue
hii ngoma nimeitafuta youtube i didnt get it . kumbe imejificha huku..