
Sifa Zote
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Wewe ni mungu wa kweli, tunakupenda
Rafiki wetu wakaribu tunakupenda
Wema wako na fadhili zinanifuata
Hakika nitakushukuru mungu wa milele
(Sifa) zote zote ni zako, zote zote nizako
(Sifa) zote zote ni zako, zote zote nizako
(Maana) mimi ni mwana wako, mimi ni mwako
Baba pokea sifa, pokea sifa zote
Pokea sifa pokea eehh eh
Jina lako Jemedari, mfalme wa vita
see lyrics >>Similar Songs
More from The Wamagatas
Listen to The Wamagatas Sifa Zote MP3 song. Sifa Zote song from album Sifa Zote is released in 2021. The duration of song is 00:03:22. The song is sung by The Wamagatas.
Related Tags: Sifa Zote, Sifa Zote song, Sifa Zote MP3 song, Sifa Zote MP3, download Sifa Zote song, Sifa Zote song, Sifa Zote Sifa Zote song, Sifa Zote song by The Wamagatas, Sifa Zote song download, download Sifa Zote MP3 song
Comments (1)
New Comments(1)
Erick Amosupkji
amina mungu akubaliki[0x1f636][0x1f636]