Press conference
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Press conference - Nacha
...
Baby Jamani nnashida ya buku
Dah! Mbona hata mimi nyumbani Sina Liku? Mmh! Baby bahili Kama Nini Ee we ulidhani mama zinachimbwa chini? Baby nilipie show ya Alikiba Mmh! Kesho Wikend Kuna Ligi Laliga, Hela niliyobakiza, miatano ya kuingilia Banda umiza Khaa! Una maneno ya shombo Ee tumia sabuni ili ukate hiyo shombo Baby ninunulie cone Sa yanini wakati mi'mwenyewe nna cone?
Hivi mnadhani si wajinga, S'kuhizi Hakuna mademu golikipa
Natafuta, Unatafuta Naleta, Unaleta Tatizo wanawake wa S'kuhizi mnadeka Nifanye ni'ishi Kama Diva Gal Hata Mimi Kama Jigger Boss Baby Mimi nataka Nyumba Tabata Aah wapi Simu ya Smartphone Aah wapi Shopping Commoro Aah wapi Unadhani zinachimbwa chini mama? Aah wapi Baby vipi Pizza na Bagger Aah wapi Peruvian Hair Aah wapi Private Car Aah wapi Unadhani zinachimbwa chini mama? Aah wapi
Similar Songs
More from Nacha
Listen to Nacha Press conference MP3 song. Press conference song from album Press conference is released in 2021. The duration of song is 00:02:49. The song is sung by Nacha.
Related Tags: Press conference, Press conference song, Press conference MP3 song, Press conference MP3, download Press conference song, Press conference song, Press conference Press conference song, Press conference song by Nacha, Press conference song download, download Press conference MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
Anold peterm56g8
Abbasi51xuo
unajua kakaaa
128208775
kar
malakafcv2m
[0x1f613][0x1f613][0x1f613][0x1f617]
kabeya justine
gonga like kwa nacha twende sawa
Lil value
kwr
Walter Combe
nomaaaaaa
Nyota My3
hahahhha
BIBA 60
good help me post my song name is BIBA 60 SUBSCRIBE YOUTUBE
milla rashd
nic
Aash Dimosso
you killing nigga..
Fredy Fransic
nice one
[0x1f630]