![Tulia ft. Lenny Lion](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/19/c3768f8fb8f740fab162a9807f9804b9.jpg)
Tulia ft. Lenny Lion
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Tulia ft. Lenny Lion - Mzalendo
...
niko freshi niko fine niko mambo safi, kwa Yesu nimetulia hata adui akicome sina wasiwasi kwa Yesu nimetulia amenijaza na roho hata kama niko low hakuniacha solo cheki niko rada, mambo iko sawa siku hizi ni mayolo tukacatch bondo hadi uko molo njia zake ninafollow maisha yangu haitabaki kuwa solo nilishajitambua nikaokoka na kitu imebaki ni kuomoka walibongabonga wamechoka lakini bado nazidi kuniokota scrrr ba pa pa pa pa pa nikiwa na wewe siogopi binadamu . nilikuwa chini ukanitowa kwa jam ukanionyesha maisha ina utamu yah yah maisha tamu kama peremende hata kabati haiezi angushwa na mende kote kote utataka sisi twende nitakushikilia kama mkamba na maembe ehh niko freshi niko fine niko mambo safi kwa Yesu nimetulia hata adui akicome sina wasiwasi kwa Yesu nimetulia amenijaza na roho hata kama niko low hakuniacha solo cheki niko rada mambo iko sawa Ahh Baba yao niko fresh niko fire hata adui akicome niko power ever ready niko charge niko sawa niliskia wahome fatherl akanipa dawa leo niko kneel kesho deal nina seal mambo yake safi form yake real huu mwaka za devo sisi tunakill mseto bila mambo vibe yake mi ninaifeel. Maisha tamu kama peremende hata kabati haiwezi angushwa na mende. kote kote utataka sisi twende. nitakushikilia kama mkamba na maembe Aehh. niko freshi niko fine niko mambo safi kwa Yesu nimetulia hata adui akicome sina wasiwasi kwa Yesu nimetulia amenijaza na roho hata kama niko low hakuniacha solo cheki niko rada mambo iko sawa x2
Similar Songs
More from Mzalendo
Listen to Mzalendo Tulia ft. Lenny Lion MP3 song. Tulia ft. Lenny Lion song from album Tulia is released in 2021. The duration of song is 00:02:50. The song is sung by Mzalendo.
Related Tags: Tulia ft. Lenny Lion, Tulia ft. Lenny Lion song, Tulia ft. Lenny Lion MP3 song, Tulia ft. Lenny Lion MP3, download Tulia ft. Lenny Lion song, Tulia ft. Lenny Lion song, Tulia Tulia ft. Lenny Lion song, Tulia ft. Lenny Lion song by Mzalendo, Tulia ft. Lenny Lion song download, download Tulia ft. Lenny Lion MP3 song