![Thamani Ya Wokovu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/12/11d5cd74b20345b8a8e31a135b16a5c9.jpg)
Thamani Ya Wokovu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2017
Lyrics
Christina Shusho - Thamani Ya Wokovu - Christina Shusho
...
Thamani ya wokovu wangu Anayejua ni mwokozi wangu, sikia hii....
Ngoja nikusimulie Habari ya kijana mmoja
Kijana mtanashati, mpole kipenzi cha wengi
Anazo sifa nyingi lakini kuu Kwake ni upendo
Siku moja alikutana na mwanamke msamalia kisimani
Kijana akamwomba maji
Mwanamke naye akamuuliza
Tangu lini wayahudi na wasamalia tukashikama!?
Kijana akamwambia ungejua mimi ni maji yaliyo hai
Ungekuja kwangu unywe ili usiwena kiu tena
see lyrics >>Similar Songs
More from Christina Shusho
Listen to Christina Shusho Thamani Ya Wokovu MP3 song. Thamani Ya Wokovu song from album Nipe Macho is released in 2017. The duration of song is 00:05:15. The song is sung by Christina Shusho.
Related Tags: Thamani Ya Wokovu, Thamani Ya Wokovu song, Thamani Ya Wokovu MP3 song, Thamani Ya Wokovu MP3, download Thamani Ya Wokovu song, Thamani Ya Wokovu song, Nipe Macho Thamani Ya Wokovu song, Thamani Ya Wokovu song by Christina Shusho, Thamani Ya Wokovu song download, download Thamani Ya Wokovu MP3 song
Comments (24)
Top Comments (1)
Zeflin Zeflin
New Comments(24)
PLEXITECH INVESTMENTS LTD
i so love this song and its on repeat . i however need the translation to English please
JosephJimmy
Mziki mzuri ❤️❤️❤️❤️
Colya11
Old is Gold [0x1f611]
Phellow
one of Christina's most underrated masterpieces
egboro
cool...
martha8oi1u
wimbo mzuri
Lenny7ygcm
It is a good song.
c-jay oberd jr9
mungu hakukosea kukupa kipaji christina
Josphine Njeriuire6
my favorite song
157260758
wimbo huu unanijaaza thank you so much Christine nakunda sana
Flovianse Nyang'orfc1ie
my favourite GOD bless you mama
ester17p92
my favorite song [0x1f628][0x1f63f][0x1f63f][0x1f63f]
wimbo mzurii, naupenda>