- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Weekend in da club baada ya mishe za mtaa
Nakula vitu vyangu mi na wanangu kadhaa
Toa monde weka monde ndo mambo tulioyazoea
Na ngoma kali za town happy day oo yeah
Ikapita pisi flani imenyooka balaa
Inanukia mauturi bamba kali anang'aa
Nikamvuta chemba nipige sound kachaa
Kwa ufundi wa Sam Goal si ndo mchumba akajaa
Nikabonga na wanangu kisha nikajikataa
Wakasema poa Mullah bhana ila take care
Nkasema zege hali lali nikasepa nae hom
Nikavuta nikachapa bila kutumia ndom
see lyrics >>Similar Songs
More from Mullah The Matrix
Listen to Mullah The Matrix Chaka MP3 song. Chaka song from album Chaka is released in 2021. The duration of song is 00:02:44. The song is sung by Mullah The Matrix.
Related Tags: Chaka, Chaka song, Chaka MP3 song, Chaka MP3, download Chaka song, Chaka song, Chaka Chaka song, Chaka song by Mullah The Matrix, Chaka song download, download Chaka MP3 song