Wanyamazishe
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Wanyamazishe - Rose Muhando
...
wanyamazishe bw..... milele wanyamaze wafunge midomo yesu..... nawakaekimyakimya.....wanyamazishe bw.....nawakaekimya kabisah...wapofushe macho yao wasinione wakae mbali nami....aah wasinione.. kwakuwa walitangaza msiba juu yangu....wala hawakutaka ipone nafsi yangu....wakafanya sherehe kupitia jina langu....walionafahari kutangaza mauti yangu....wakachuma na pesa kupitia jina langu....hawakuona vibaya kuumiiza familia yangu....walifanya mihaka kudhihaki watoto wangu...aah natuma malaika nyumbani kwao atangaze msiba kwenye familia zao....namtuma GAbriel malangoni kwao.... atangaze msiba malangoni kwao...nawafanye matanga maishani mwao×2...yasikome matanga kwenye familia zao....raha na kifo iwejuu yao...wala wasiwe salama watoto wao....mauti iwe fungu lao....kushindwa uwe mbele yao...kwakuwa mm nmekutumainiii....wanyamazishwe...wataharishwe...wafedheheshwe....waangaike...waaibike...kwa kuwa mm nmekutumaini... "chorus"Mikaeli wa vita nakutuma kwao....upeleke mafarakano kwao...wasielewane wao kwa wao...nasema wagombane wao kwa wao.. walane watafunane wao kwa wao...wavuruugane wao kwa wao...maadui wapigane wao kwa wao...aah..Mungu mwenyezi awe adui yao.... wakitazama kulia wamuone Gabrieli...wakitazama kushoto wamuone Mikaeli....mbele yangu wamuone Rafaeli...wafadhaike...wataharishe...wahangaishe xxxxxxxxx usiwape nafasi chorus
Similar Songs
More from Rose Muhando
Listen to Rose Muhando Wanyamazishe MP3 song. Wanyamazishe song from album Miamba Imepasuka is released in 2021. The duration of song is 00:05:43. The song is sung by Rose Muhando.
Related Tags: Wanyamazishe, Wanyamazishe song, Wanyamazishe MP3 song, Wanyamazishe MP3, download Wanyamazishe song, Wanyamazishe song, Miamba Imepasuka Wanyamazishe song, Wanyamazishe song by Rose Muhando, Wanyamazishe song download, download Wanyamazishe MP3 song
Comments (62)
New Comments(62)
0714697874
Phellow
[0x1f623][0x1f623][0x1f623]
perminus wanjiru
awesome song
167879459
true en touching
169310750
Watanyamaza !!
Njeri Irunguikqec
wanyamazishe bwana wangu
Phellow
[0x1f630]
veraithfriday
wanyamaziiiishe Bwana
Raymbuma
weweeeeee wanyamazishwee haoooo
ABDINASIR dfqyu
God bless you
frankjames j5n54
If you have zenith Bank account or Ecobank account that can take up to 50,000,000 naira you drop for Instant loading .. I have a direct zenith and Ecobank log now Please and please the account needed is account that has a good transaction history account that have run transaction of millions for the past month I'm ready for job 2/4/7 Don't give me small children zenith Bank or Ecobank account.. don't give me new account within 30 minutes time the job is done +2348053432125
May God bless u da queen of gospels