![Zamu Ya Huduma](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/12/1444117d25f34d82a509e8f517214001.jpg)
Zamu Ya Huduma
- Genre:Gospel
- Year of Release:2018
Lyrics
Zamu Ya Huduma - The Saints Ministers
...
Zamu ni yangu,y’a hudumaaa,zamu ni yetu y’a huduma,sta kimya,
(Sita regeya,nita simama ni ende,samu ni yangu y’a huduma)X2
Mwanzilichi wa huduma hii,Mwana wa Mungu,Ali hudumu kwa wote.
Aliye chuka,aliye paa djuu mbinguni,ani djaze yoteeee,aka Towa mitume,manabii,watchungaji,waidjilisti,n’a waalimu.
Zamu ni yangu,y’a hudumaaa,zamu ni yetu y’a huduma,(sita kimya,sita regeya,nita simama ni ende,zamu ni yangu y’a huduma)X2
Kwa kusudi lakuwakamilicha, watakatifu wote,hata kazi,ya huduma i tendeke,hata mwili wa christo ujegwe!
Mwanzilichi wa huduma hii,Mwana wa Mungu,Ali hudumu kwa woteee.hata na sisi sote,tutakapo ufikiya umoja wa imani,naku fahamu sana,mwana wa mungu,mkamilifu,tu fikiye kimo kyake kya utimilifuuu!
Zamu ni yangu,y’a hudumaaa,zamu ni yetu y’a huduma,(sita kimya,sita regeya,nita simama ni ende,zamu ni yangu y’a huduma)X2
Kwa maana nili kuwa djaa huku ni lisha,nili kuwa n’a kiu huku ni nywecha,mugeni kwako mimi,siku karibichwa hahaaa! Utchi wanguuu,huku ni vika,nili kuwa hospitali,siku tembelewaa,kifungoni nili kuwa,huku ni jiyaa,Muda ni Sasa mwenzangu,hudumu kwa wote,ili siku y’a mwisho,uwe muriti.
Zamu ni yangu,y’a hudumaaa,zamu ni yako,y’a huduma,sita kimya,sita regeya,nita simama ni ende,zamu ni yangu y’a huduma.
see lyrics >>Similar Songs
More from The Saints Ministers
Listen to The Saints Ministers Zamu Ya Huduma MP3 song. Zamu Ya Huduma song from album Mifulizo Ya Baraka is released in 2018. The duration of song is 00:05:29. The song is sung by The Saints Ministers.
Related Tags: Zamu Ya Huduma, Zamu Ya Huduma song, Zamu Ya Huduma MP3 song, Zamu Ya Huduma MP3, download Zamu Ya Huduma song, Zamu Ya Huduma song, Mifulizo Ya Baraka Zamu Ya Huduma song, Zamu Ya Huduma song by The Saints Ministers, Zamu Ya Huduma song download, download Zamu Ya Huduma MP3 song
Comments (5)
New Comments(5)
Ketchadams
William Ezra
wow! verry verry good
Judith Kinyakv71t
love your song
Mkama TheGiant
amina
Hilarymprtv
love you saint ministers
This song Zamu[0x1f60e]