![Neema Yako](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/03/ef1b792703d248278e65893552f9dd3d.jpg)
Neema Yako
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Neema Yako - Walter Chilambo
...
umenitoa mbali kusikojulikana
kwa neema yako isiyosemekana
umenitoa kule kusikojulikana
kwa upendo wako usiosemekana
ni muujiza me kufika hapa
ni muujiza me kuwa hai
ni muujiza kupendwa na wewe Yesu
ni muujiza kusimama tena
si kwamba Mimi nimetenda wema sana
si kwamba Mimi ni mtakatifu sana
see lyrics >>Similar Songs
More from Walter Chilambo
Listen to Walter Chilambo Neema Yako MP3 song. Neema Yako song from album Neema Yako is released in 2021. The duration of song is 00:03:29. The song is sung by Walter Chilambo.
Related Tags: Neema Yako, Neema Yako song, Neema Yako MP3 song, Neema Yako MP3, download Neema Yako song, Neema Yako song, Neema Yako Neema Yako song, Neema Yako song by Walter Chilambo, Neema Yako song download, download Neema Yako MP3 song
Comments (38)
New Comments(38)
Efrasia Basili
jovinuslxafu
ubalikiwe kk
jovinuslxafu
jovinuseustace
jovinuslxafu
ubalikiwe
kelvinaro6q
ubarikiwe
Dastan Golyama
amini kwamba
149628601
Paulo
Linu Bern Mush
Ameen
Derick Francea310a
ni muujiuza mimi kufika hapa
Ms_janne
❤️
Joshliveit Godwin
God bless you
Frank Mwangata
Ubarikiwe sanaaaaaaaa kwa wimbo huu kaka Walter nimekuwa nikiusikiliza kutwa mzima kwa changamoto nyingi nilizokutana nazo za kukataliwa na mchumba na kutengwa na kufukuzwa kazi lakini MUNGU aliachilia NEEMA yake kwangu akanipa mke na kazi na sasa niko na maisha mengine na nilitamani sana kukuona kaka ubarikiwe sanaaaaaaaa
hakika huu wimbo unanibarikig sana kila nikiuskiliza