
Mteteeni Yesu
- Genre:World Music/Folklore
- Year of Release:2021
This song is not currently available in your region.
Try the alternative versions below.
Alternative versions:
Lyrics
Mteteeni Yesu - Dinu Zeno
...
Mteteeni Yesu, Mlio askari;
Inueni beramu, Mukae tayari,
Kwenda nae vitani, Sisi hatuchoki
Hata washindwe pia Yeye amiliki.
Mteteeni Yesu, Vita ni vikali;
Leo siku ya Bwana, Atashinda kweli, Waume twende naye, Adui ni wengi, Lakini kwake Bwana Tuna nguvu nyingi.
Mteteeni Yesu, Wenye ushujaa;
Nguvu zenu za mwili Hazitatufaa;
Silaha ya injili Vaeni daima,
Kesheni mkiomba, Sirudini nyuma.
see lyrics >>Similar Songs
Listen to Dinu Zeno Mteteeni Yesu MP3 song. Mteteeni Yesu song from album Mteteeni Yesu is released in 2021. The duration of song is 00:05:54. The song is sung by Dinu Zeno.
Related Tags: Mteteeni Yesu, Mteteeni Yesu song, Mteteeni Yesu MP3 song, Mteteeni Yesu MP3, download Mteteeni Yesu song, Mteteeni Yesu song, Mteteeni Yesu Mteteeni Yesu song, Mteteeni Yesu song by Dinu Zeno, Mteteeni Yesu song download, download Mteteeni Yesu MP3 song