Kwa Raha
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Kwa Raha - Achillian
...
Sina budi upendo wa Mama Nakupa first day(siku ya kwanza) seje music uhh akanitwaaa sina mood(mudii) harakaa harakaa
majibu misinaa umenipendeya nini mbona misuli ya jaa hatuna aahh ohh zaidi ya hii jinaa mwenzio sina ramani yanini nitake tenaaa uuh yonde wazawagaa mi niwakoeee kila sekunde dakika saa nikupe nini we ata moyo ajatosha ooh baby moi je t'aime comme un Foux isiya zangu kwako ni zaidi ya juu ooh really i llolo ove you
cause ume ni momoo buu waseme umenipa limbwataa wambie sioni matataa wajue sija kuokotaa nimepambana nusu kufaa weweee bafuni wawilii wawilii atuashani kama kivulii wakinuna wahame sayarii we dada!! umenifanya tele nitabasamuu nimesahau kwakuja jitaa vyako vyote naviona vitamu uuh kwa maexs sijapataa bila we paradiso nitalazimuu nitakusifu bila nukta mtalamu ohh aahh/2
Similar Songs
More from Achillian
Listen to Achillian Kwa Raha MP3 song. Kwa Raha song from album Blue Sky EP is released in 2021. The duration of song is 00:03:23. The song is sung by Achillian.
Related Tags: Kwa Raha, Kwa Raha song, Kwa Raha MP3 song, Kwa Raha MP3, download Kwa Raha song, Kwa Raha song, Blue Sky EP Kwa Raha song, Kwa Raha song by Achillian, Kwa Raha song download, download Kwa Raha MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
Steven Godfrey 1
Dylan Deusi
xanananannaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nice