![Acha Waambiane](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/01/27/9d04e5ce62bf4c8ba55775dfda5a835f.jpg)
Acha Waambiane
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Acha Waambiane - Goodluck Gozbert
...
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila wataambiana wema wa MUNGU maishani mwako
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ila wataambiana wema wa MUNGU maishani mwako
Usikate tamaa na yale unayoyaona
ata kama uko chini sanaa( chini sanaaa)
najua wataambiana wewe ni masikini
lakini usichoke ipo siku watasema
najua wataambiana wewe hufai
na umeshatembea na wanaume wengi(tena wengi)
utakapofika wakati wa kuinuliwa aah
see lyrics >>Similar Songs
More from Goodluck Gozbert
Listen to Goodluck Gozbert Acha Waambiane MP3 song. Acha Waambiane song from album Ipo Siku is released in 2017. The duration of song is 00:04:43. The song is sung by Goodluck Gozbert.
Related Tags: Acha Waambiane, Acha Waambiane song, Acha Waambiane MP3 song, Acha Waambiane MP3, download Acha Waambiane song, Acha Waambiane song, Ipo Siku Acha Waambiane song, Acha Waambiane song by Goodluck Gozbert, Acha Waambiane song download, download Acha Waambiane MP3 song
Comments (37)
New Comments(37)
Emmanuel malle3
tkiilu
God knows us better but human beings tells bad things of you
https://lens.snapchat.com/d5de5c36
acha waambiaane...lkn mungu ndo kusema
Dessai Vosty
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ipo siku wataambiana wema wa MUNGU maishani mwako. Kenya [0x1f623][0x1f63f]
Dessai Vosty
Acha waambiane wasemezane mabaya yako ipo siku wataambiana wema wa MUNGU maishani mwako. Kenya [0x1f623][0x1f63f]
Manu k.e
goodluck gozbert atoe kolabo na Aniset butati
Manu k.e
goodluck gozbert ✅✅✅ jitume bro
Frola Mw
wimbo mzuri
Kimario Emanuel
❤️
Maryi2x5l
amen
dauddt1c8
nakubal
[0x1f621]