
Bora Uhai
- Genre:Reggae
- Year of Release:2020
Lyrics
<font color='#0052ff'>Bora</font> <font color='#0052ff'>Uhai</font> - OCHUNGULO FAMILY
...
bora uhai kuliko kujidai,kuliko kujirusha ukapata umezirai na aki walai umetoka githurai na una deny manzi wako ananidai,bora uhai na rauka kunywa chai nadai kupiga wera na wasee wamedunga tie nanijipate klabu na wagala wame vie na zangu zikishika muniwache tu kwa ndai bora uhai huaga sijidai na huaga niko rada kama nganya za rongai na huaga nina dreams zakukupeleka dubai na baby ukiniiita ntakam sai sai bora uhai,bora uhai,bora uhai,bora uhai,bora uhai,bora uhai,bora uhai naitwa dmore na mi ni ngore hapa mtaani tumeleta ngore ngoma zetu zimeshika kikoro mabarbie na maodi wanatu forro bora uhai nazime nasa kwa zigy zimeshika nikona kinyasa ikikosekana nafika Ethiopia maisha yngu skuizi inanibamba bora uhai×7
bora uhai kuliko good bye kuliko kukutext na bado uja reply kuliko ukinichocha ukincheki eye to eye kuliko nkucheki uki seti tu mangwai bora uhai na si eti mi hujidai madem hunidai ju mi hukua fly bora uhai na nywele nime dye toa form tukuonyeshe vile kuna dai bora uhai×7
bora uhai kuliko kujidai kuliko kujirusha ukajipata umezirai na aki walai umetoka githurai na una deny manzi wako ananidai
pararam pampam papampam
Similar Songs
More from Ochungulo Family
Listen to Ochungulo Family Bora Uhai MP3 song. Bora Uhai song from album Bora Uhai is released in 2020. The duration of song is 00:03:34. The song is sung by Ochungulo Family.
Related Tags: Bora Uhai, Bora Uhai song, Bora Uhai MP3 song, Bora Uhai MP3, download Bora Uhai song, Bora Uhai song, Bora Uhai Bora Uhai song, Bora Uhai song by Ochungulo Family, Bora Uhai song download, download Bora Uhai MP3 song
Comments (35)
New Comments(35)
Lenny Marauni
Dj Tickler
Bora uhai..bado doba inadai!!!
Deleted User
Manabadman ting
131328448
malivini[0x1f627][0x1f627][0x1f63f]
Pro-Gamer Pes
fgh jhg hhv hhh hgv hhv jhb gfg uhfg ufhg rghf ghhf
eugenemhumble
to...p
Siraj Shireen
wakuu noma sana
Zulekhadroqk
Dope
Vickie Vick
shshhsgshshhs
PriestLusisa
bora uhai. being real matters
Charley Machogu
booooooora uuuhai kuliko kudai.[0x1f630][0x1f630][0x1f630][0x1f621][0x1f628][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60e][0x1f60f][0x1f60f][0x1f60f]eeeeeeeeeeeee
keep it up