![Nakuja Remix ft. Balaa Mc](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/27/bfe5c54272a64876931ac8b155e0ae6c.jpeg)
Nakuja Remix ft. Balaa Mc
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2020
Lyrics
Nakuja Remix ft. Balaa Mc - Marioo (TZ)
...
nakuja×5
sa mchumba mbona hutokei mama wee nshachoka kuchoreshana nambie×2
mwenzako nshafunga mpk maviremba , mwenzako nshapaka mpk maungaunga,mwenzako nshameza mpk mavidonge , we ucniogope nshanunua me pakti zima.
kama nauli nshakutumia sa mbona mpk sasa mchumba hujatokea,ulitaka kijora nkakuzingatia , sa mbona cmu nkipiga unanikatia , nkipiga cmu mdaa woote unasema , Fanya uwahi ntakumbia nsesema na ukiwahi nitakupeleka kwa mama , sio utani yaan nimekumic sana
Mwenzako nimekumic mamilooo ucpokuja haki ya mungu ntaumia roho nakupenda me msela sio bishoo njoo bac mwenzako nimemic show
c ulitaka hela ya wigi nkakupa hata kijora kwa mobeto nshalipa c ulitaka kiepe yai nshaagiza hata kitenge kwa wolper nshalipa,cku hizi mbona muongo mamiloo mda wote we unasema upo kariakoo punguza kujiangalia kwa kioo njoo bac mwenzako nimemic show
nakuja×5
we mwanangu njoo×6 aah njoo ulione , hili hapa hili×3 aaah njoo ulione
achaaaa bahaariaaaa
jmn haipendez kuganda kama sanamu njoo kati nionyeshe mashamsham×2
see lyrics >>Similar Songs
More from Marioo
Listen to Marioo Nakuja Remix ft. Balaa Mc MP3 song. Nakuja Remix ft. Balaa Mc song from album Nakuja Remix is released in 2020. The duration of song is 00:04:04. The song is sung by Marioo.
Related Tags: Nakuja Remix ft. Balaa Mc, Nakuja Remix ft. Balaa Mc song, Nakuja Remix ft. Balaa Mc MP3 song, Nakuja Remix ft. Balaa Mc MP3, download Nakuja Remix ft. Balaa Mc song, Nakuja Remix ft. Balaa Mc song, Nakuja Remix Nakuja Remix ft. Balaa Mc song, Nakuja Remix ft. Balaa Mc song by Marioo, Nakuja Remix ft. Balaa Mc song download, download Nakuja Remix ft. Balaa Mc MP3 song
Comments (43)
New Comments(43)
Sulaiman Sakariyau4554
Joseph Hauletuoba
Vibe songu
bibaholocz
@melly milles: for
alex mwembedefq9
umetishaa kk
Rachelh2xkb
safi sana ww
Miss melly
Good
Dulla Alihxvh3
dulla boy
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/03/10/35a81b553d2a4a60b42e391c41b2f858.jpg)
gvitalis
atareeeee firee
Eunice Kigen
fantastic
Reject poverty the rich ones's don't have two heads so think wisely today so your children will not die in poverty..... reject poverty today if you are ready to make money without human being blood or part call or text me 07012865042