![Nyota](https://source.boomplaymusic.com/group2/M04/D0/CC/rBEeNFxS3-SAHF6sAADr4SKCB9Y233.jpg)
Nyota
- Genre:Pop
- Year of Release:2019
Lyrics
Nyota - Bahati
...
Lugende lamu Nikitafuta nyota aiseee Mutema wangu Mukachoma sana aisee Lugende lamu Nikitafuta nyota aiseee Mutema wangu Mukachoma sana Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh Messiah ninavyo kuimbia Si eti napendalia Laiti wangelijua Mbali ulikonitoa Ninavyo kuimbia ...aha ahaa Wangelijua ...aha ahaa Zile time za primo Kaptula mashimo Umenifanya ngumzo Imekuwa ndo sivyo Zile time za primo Kaptula mashimo Umenifanya ngumzo Imekuwa ndo sivyo Wewe ndiye nyota Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi star baba Wewe ni nyota eeh Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi star baba Wewe ni nyota eeh Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai Kisa cha damu msalabani Uliniwahi wahi wahi Siwezi lenga kama deni una ni dai dai dai Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh Kwako me nang'aa sana Wewe ni nyota eeh Kwangu zaidi ya star baba Wewe ni nyota eeh Ulifanya nang'aa Ulinifanya mi star Kwa yote wewe ni nyota eeh Wewe ni nyota eeh Wewe ndiye star Wewe ni nyota eeh
Similar Songs
More from Bahati
Listen to Bahati Nyota MP3 song. Nyota song from album Nyota is released in 2019. The duration of song is 00:03:33. The song is sung by Bahati.
Related Tags: Nyota, Nyota song, Nyota MP3 song, Nyota MP3, download Nyota song, Nyota song, Nyota Nyota song, Nyota song by Bahati, Nyota song download, download Nyota MP3 song
Comments (6)
New Comments(6)
elidyj0q
Veronica Lucasaog9m
iko kali
mikecc2yw
[0x1f628][0x1f628][0x1f628][0x1f628]
miasize msanii
kali xana bahati
[0x1f621]