- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Ongeza - Diamond Platnumz
...
[1st Verse]
Mmmh mmmh mmmmh
Ayolaizer.....
Me kwako sikuingia miguu, mikono hadi kichwa kiufupi maziima
Nikiamini wa kufa kuzikana
Yaani hoi sio nafuu mahututi kabisa hata mashaka siina
Kiaminiii... utatengwa na Maulana
Mvumilivu hula mbivu, nimengoja mpaka zikaoza
Naambulia maumivu, ingali sina wa kunipoza
Sijui yangu staamilivu, kunyenyekea kwa niponza
see lyrics >>Similar Songs
More from Diamond Platnumz
Listen to Diamond Platnumz Ongeza MP3 song. Ongeza song from album Ongeza is released in 2020. The duration of song is 00:03:56. The song is sung by Diamond Platnumz.
Related Tags: Ongeza, Ongeza song, Ongeza MP3 song, Ongeza MP3, download Ongeza song, Ongeza song, Ongeza Ongeza song, Ongeza song by Diamond Platnumz, Ongeza song download, download Ongeza MP3 song
Comments (498)
Top Comments (2)
jackson akwenda
wasocrate
i like this song>
New Comments(498)
179364833
Dood song
176472865
hamn kazi hapo[0x1f602][0x1f602]
Jeffrey Tawo
diamond is the greatest among All
Cosmas danda Danda
noma sana
Nyla has
Tuue chibu tuue babaa
Emma :MM
[0x1f630][0x1f630] song [0x1f653][0x1f653][0x1f653][0x1f653]
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/11/24/ab0f1663d94b4622ba6889884b03a334.jpg)
GeoffuhJovinh
Hutu jamaa apewe maua yakee aseee
tatuou9rc
dah acha tu
G-melody
Hii Ngoma yani hata nikilala alafu icheze tuu kidogo naamka mpaka iishe nirudi lala
charlesjumavv5lt
huyu jamaaa anakili ya mziki maini hayazeeki
zainabu husein90m7l
hii nyimbo iliniliza sana ilipoachan na mpenzi wangu mmana ilinigusa sana ctokaa nisahau
Veronica Isaka
mwamba anajua mpaka basi ila nasikiliza mpaka nalia aisee
Keep it up, your songs thrills.>