Umenipenda
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Umenipenda - Jessica Honore
...
JESSICA HONOR- UMENIPENDA
Ooooh- Yesu -Eeee -oooh
Nimekuona Mungu wa kuabudiwa na kutukuzwa Baba, Mungu wa Isack,Shedrac,Meshack na Bednekh Mungu wangu leoo oooh*2
eeee -Yesu- weeeh
Pale nilipozimia moyo uliniuuwisha kwa lako pendoo (ukanionesha) Ukanionesha upendo wako usio na sababu eeeh (Kati-Kati) katikati ya mawimbii makali bado moyo wangu utakutumaini, nikikumbuka upendo wako usio na sababu (Umenipenda (Buree) Pendo la Agape (Buree) Lisilo na Madaii (Buree) Umenipenda Buree buree buree)*2
Ukafanyika fungu la posho yangu nyakatii mifukoo yangu imetobokaa ukaishika kula yanguu ukuniacha nifee njaa(*2)
Pale nilipozimia moyo uliniuuwisha kwa lako pendoo (ukanionesha) upendoo wako usio na sababu eeeh (Kati-kati) katikati ya mawimbii makali (Kati-kati) bado moyo wangu utakutumaini (eeeh) Nikikumbuka upendo wako usio na sababu oooh Umenipenda(buree) mmh Pendo la Agape(buree) lisilo na Madaii(buree) Baba Umenipenda buree buree buree
(eeeh)Umenipenda(buree)Pendo la Agape(buree)lisilo na madaii(buree)Yesuu Umenipenda buree buree buree
see lyrics >>Similar Songs
More from Jessica Honore
Listen to Jessica Honore Umenipenda MP3 song. Umenipenda song from album Mwamba is released in 2020. The duration of song is 00:04:54. The song is sung by Jessica Honore.
Related Tags: Umenipenda, Umenipenda song, Umenipenda MP3 song, Umenipenda MP3, download Umenipenda song, Umenipenda song, Mwamba Umenipenda song, Umenipenda song by Jessica Honore, Umenipenda song download, download Umenipenda MP3 song
Comments (10)
New Comments(10)
japhetmussa
japhetmussa
poa sana
najox
i really love this music it elighten my soul
CherediJoshua
Great
Endear Vybz
Hhggggh hhhhh Jb jbhv. Bhhb. Huhnchcv. Ucbv. H bhvbbj Yhvgn. Hhhgnnm Jhh nihnkiujm Mighm Iutgghkgnb hkjjvghjujkkm Kkhmjhm. Jummmijm Bhhjnhuuhmnmj Kin Mjuh
Madani 40cu
i realy love the african music papaapa. tye is no our side. let go
Amber.
@=
Evacia Cathles
Powerful my sister
Agbenya/fortune
Nice
Rosemary Minjaj
[0x1f623][0x1f618]
nice