Wa Kusifiwa
- Genre:Gospel
- Year of Release:2020
Lyrics
Wa Kusifiwa - John Lisu
...
Wakusifiwa wakuabudiwa ni wewe tu Mungu wa miungu(repeat) Ni wewe tu Bwana Mungu wa miungu, Mungu wa miungu Hakuna kama wewe Bwana Mungu wa miungu, Mungu wa miungu(repeat) Wastahili heshima na sifa Mungu wa miungu Haleluya (Repeat) -Astahiliye heshima utukufu na nguvu ni wewe tu Mungu wa miungu
Wakusifiwa wakuabudiwa ni wewe tu
-Eeenh mamlaka ni yako heshima ni zako ni wewe tu Mungu wa miungu
(Repeat) -Wastahili heshima zote Mungu wa miungu Twakusifu twakutukuza twakubariki ewe bwana (repeat) Eeeh umetukuka Eeenh unastahili Eenh tunakupenda Eenh twakuinua Eeenh twakubariki
Similar Songs
More from John Lisu
Listen to John Lisu Wa Kusifiwa MP3 song. Wa Kusifiwa song from album Uko Hapa is released in 2020. The duration of song is 00:09:08. The song is sung by John Lisu.
Related Tags: Wa Kusifiwa, Wa Kusifiwa song, Wa Kusifiwa MP3 song, Wa Kusifiwa MP3, download Wa Kusifiwa song, Wa Kusifiwa song, Uko Hapa Wa Kusifiwa song, Wa Kusifiwa song by John Lisu, Wa Kusifiwa song download, download Wa Kusifiwa MP3 song
Comments (13)
New Comments(13)
samweljk
Lucas Mwasomolanvwfs
Hallelujah, ni baraka tupu huu wimbo, unanibariki sana
Shukuru Domino
.wow good song
Imma Mushim6ojf
Wimbo mzur sana
Eno Sound
wonderful
Alpa Kahisi
wonderful song[0x1f636][0x1f636][0x1f636]
tatu mkamba
nice
His Majestyeuk8q
sakata chakacha gospel..
His Majestyeuk8q
what a nice song it is....
Mama mayra
nice song [0x1f60c]
103927102
[0x1f62a][0x1f612][0x1f613][0x1f630]
l. j. fadhiliFad
and song
Naomb niwe wa kwanza kupata nyimbo zenu mungu awabariki