Wewe ft. Avril
- Genre:Afropop
- Year of Release:2016
Lyrics
Wewe ft. Avril - Susumila
...
sikia utamu wa zigi la Nazi. .. nakupenda nakupenda sana Kila
ninapo kuona moyo wangu unadunda dunda moyoni Mimi nakupenda mpaka sikuoni nivishe saga Kila ninapokuona moyo wangu unadundadunda moyoni Mimi nakupenda mpaka sikuoni nikuvishe saga ...mama eehh nakupenda nakupenda sana. sweety eeeee yamamo waleteamo tago...endapo utapata mwingine moyo utanichoma a endapo utapata mwingine moyo utaniumaa..endapo utapata mwingine moyo utanichomaaa. endapo utapata mwingine moyo utaniumaa.
Nakupenda wee wee Nakutakaa wee weee...Nakupenda weewee Nakutakaa weewe. (Avril)- Kwanza tulia usije napupa utaumia, kisa penzi unaniongopea ety wanitaka kwanza tulia usije napupa utaumiaa ahhh Kisa penzi waniongopea ety wanitaka ..Mwanaume eee....... sisi kwenu ni mifupa kwa fisi ukishiba eeee.....mwishowe mwatumwagia matusi.Mwanaume eeh sisi kwenu ni mifupa kwa fisi ukishiba
eee mwishowe mwatumwagia matusi....ahhahhh nisije nikaja kwako Kisha ukaniumiza moyo .nisije nikawa wako Kisha ukaniumiza moyo..Nisije nikaja kwako kisha ukaniumiza moyo Nisije nikawa wako Kisha ukaniumiza moyo..Endapo utapata mwingine moyo utanichomaaa Endapo utapata mwingine moyo utaniumaa...Endapo utapata mwingine moyo utanichomaaa Endapo utapata mwngne moyo utaniumaa...Nakupenda weewee Nakutakaa weewee Nakupenda weewee Nakupenda weweeewee Nakutakaa weewee....Tutavisavungaa Tena uko simple ..kitumbo mflatyy maaa nakishunza kiko mtoto savungaaa Tena uko simple kitumbo mflatyy maaa na nakishunza kiko..Masalaa Masalaa mahaba yote umenipee Wanipaa raa Wanipaa raa unafanya nidatee Masalaa Masalaa mahaba yote umenipee Wanipaa raa Wanipaa raa unafanya nidatee..... aiiiweeee app kazi na Sala apa SI kazi na dawa.......Endapo utapata mwingine moyo utanichomaaa Endapo utapata mwingine moyo utaniumaa Endapo utapata mwingine moyo utanichomaaa Endapo utapata mwingine moyo utaniumaa Nakutaka weewee Nakupenda weewee Nakutaka weewee Nakupenda wewee
Similar Songs
More from Susumila
Listen to Susumila Wewe ft. Avril MP3 song. Wewe ft. Avril song from album Wewe is released in 2016. The duration of song is 00:04:01. The song is sung by Susumila.
Related Tags: Wewe ft. Avril, Wewe ft. Avril song, Wewe ft. Avril MP3 song, Wewe ft. Avril MP3, download Wewe ft. Avril song, Wewe ft. Avril song, Wewe Wewe ft. Avril song, Wewe ft. Avril song by Susumila, Wewe ft. Avril song download, download Wewe ft. Avril MP3 song
Comments (2)
New Comments(2)
augostino kiremac6tvo
Wachawiiiiiii international rrrrraaaaah
Hussein De Prince
Wachawiiiiiii international rrrrraaaaah
thax