![Mwaminifu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/2F/F8/rBEeM1v7q7GAOyiGAABg_mNdqtg249.jpg)
Mwaminifu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Mwaminifu - Paul Clement
...
Una wasiwasi, hofu na mashaka, unahisi moyoni kama Mungu kakuacha maana unaona hausogei wala huendelei, uko palepale kila Siku uko vilevile *2
Mungu alieanzisha safari
tena ata imaliza, na ahadi zote alizosema yeye ata zitimiza,
mana alikujua, kabla hujajijua kabla hujazaliwa.
Mungu hawezi kukuacha njiani,
safari yako alianzisha mwenyewe,
asingetaka angekuacha mwanzoni,
see lyrics >>Similar Songs
More from Paul Clement
Listen to Paul Clement Mwaminifu MP3 song. Mwaminifu song from album Mwaminifu is released in 2018. The duration of song is 00:05:11. The song is sung by Paul Clement.
Related Tags: Mwaminifu, Mwaminifu song, Mwaminifu MP3 song, Mwaminifu MP3, download Mwaminifu song, Mwaminifu song, Mwaminifu Mwaminifu song, Mwaminifu song by Paul Clement, Mwaminifu song download, download Mwaminifu MP3 song
Comments (50)
Top Comments (1)
Jackson Josh
New Comments(50)
Benjamin nyakasty
una wasi wasi
marypmnzk
asante kwa kugusia maisha ya watu walio wengi kaka
mkinakimkxk2t
aminaaaa
Joshua Simonny
thanks so so so so much ❤️
MCH. NOEL SIRBOAT
Asante kwa kututia moyo. Bwana aendelee kukutumi Chombo chake.
Aminar13um
Wow
Evelin Cyliacus
mungu alikujua kabka ujajijua kabla ujazaliwa amina xana kaka
Vann_Genix
Great song
115206897
This song attached to my heart I like it mostly be blessed bro
Decoo-102
I really love this Song...God bless you
Sam e8zci
Siuchokagi[0x1f607]
nice Song>