![Kizungu Zungu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M18/FF/8C/rBEezl5c616AF_IiAACvnE34x3A010.jpg)
Kizungu Zungu
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Kizungu Zungu - Abdukiba
...
Bila shaka huu ugeni sio mwingine wa single for real
Najua ulipenda kuzunguka dunia hii
Na leo umerudi kwa kunipa ripoti mi
Mpaka home ukarejea, mizigo nkakupokea
Mengi ukanielezea, ni mengi umejionea
Hii dunia ina mengi matatizo
Ulimwengu una vingi vikwazo
Kabla hujafanya maamuzi ungepima
Kipi nimetenda kwako ka kimepima
Ni wivu ulikufanya ukasepa
see lyrics >>Similar Songs
More from Abdukiba
Listen to Abdukiba Kizungu Zungu MP3 song. Kizungu Zungu song from album Kizungu Zungu is released in 2020. The duration of song is 00:03:24. The song is sung by Abdukiba.
Related Tags: Kizungu Zungu, Kizungu Zungu song, Kizungu Zungu MP3 song, Kizungu Zungu MP3, download Kizungu Zungu song, Kizungu Zungu song, Kizungu Zungu Kizungu Zungu song, Kizungu Zungu song by Abdukiba, Kizungu Zungu song download, download Kizungu Zungu MP3 song
Comments (3)
New Comments(3)
Boynet_
MOHAMED MKAPEaxwyw
❤️
officialmariamdaudi
i like this song
where are you now days , love the hit song till 2day