- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2001
Lyrics
Ndio Mzee - Professor Jay
...
Ndiyo mzee
Nimekubali
Naam ndugu wananchi, MC wenu Babu Ayubu,
Ninawaleteeni *habali japo kwa kifupi kuhusiana na huyu mgombea wetu bwana Joseph Haule
Mpeni *kula za ndiyo kwasababu yeye ni mpenda watu, ni mpenda amani,
Na ni mtu mwenye huruma kwa wananchi wote,
Kwa hivyo basi nawaomba ndugu wananchi, mumpe kula ili aingie.
Naam basi, hivyo basi ndugu wananchi,
Eeh tafadhali *namkalibisha mgombea wetu,
Bwana Joseph Haule, ili aje aweza kuzungumza na wananchi,
see lyrics >>Similar Songs
More from Professor Jay
Listen to Professor Jay Ndio Mzee MP3 song. Ndio Mzee song from album Machozi Jasho Na Damu is released in 2001. The duration of song is 00:05:56. The song is sung by Professor Jay.
Related Tags: Ndio Mzee, Ndio Mzee song, Ndio Mzee MP3 song, Ndio Mzee MP3, download Ndio Mzee song, Ndio Mzee song, Machozi Jasho Na Damu Ndio Mzee song, Ndio Mzee song by Professor Jay, Ndio Mzee song download, download Ndio Mzee MP3 song
Comments (12)
New Comments(12)
chengeshaggy
ABUDAUDI
dah! professor jay unalenga jamii!!! heshima kwako
ally iddce39m
salute kwa professor jay wa mitulinga
Jamiru Swaib
ndiyo mzee
NuhuJr's
good
lyotokhan
sana prof
killerdq9bg
mziki unaoishi
joseph mnyomole
ameishi maisha aliyo yaimba
hillzedon
ndio mzee prof Jay bonge ngoma ahadi kibao mzee baba ila ni bonge ideal nice ngoma
Userdesy
Saluti kwa Majani -P Funk
Frank Kisimbo
saaf
imetoka sijazaliwa leo ndo pendwa kwangu