- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2001
Lyrics
Na Bado - Professor Jay
...
Natumia nafasi hii kuthibitisha kipaji changu Ikiwa ni Makakati wa kuinua jina langu Na huu si mkwara tu,ni msisitizo wenye Nia,kama kipaji kipo sioni wa kuziba njia, Nathibitisha umahiri MC kimiundo mbinu, ni JAY na LB kwenye mtwango ndani ya kinu Nipo fresh na bado nitazidi kuthibitisha, kadri siku zinavyokwenda ndipo nitapotisha Thamani ya kipaji changu ni zaidi ya uhai wa mtu Kina uwezo wa kuelimisha na kubadilisha mtu Naanzisha vita baridi aje mpinzani wa jadi Kama Osama na Bush rap izushe jihad Jino Kwa jino tu sambamba jukwaani,na hata aje gwiji sihofii kutoa ushandan Naamini ya kwamba kweli uwezo huo ninao, Na Nazusha mtafaruku wabishane wao Kwa wao Fani uwanja wa vita ndani nimeshavaa gwanda,Nakoleza ushambulizi siogopi kupondwa Tunzo zangu silaha na kipaji ndio ngao Ole wao vichwa pumba, kazi kwao, na Bado o,o,o iii o,o,o iii NA BADO NA BADO
Similar Songs
More from Professor Jay
Listen to Professor Jay Na Bado MP3 song. Na Bado song from album Machozi Jasho Na Damu is released in 2001. The duration of song is 00:03:23. The song is sung by Professor Jay.
Related Tags: Na Bado, Na Bado song, Na Bado MP3 song, Na Bado MP3, download Na Bado song, Na Bado song, Machozi Jasho Na Damu Na Bado song, Na Bado song by Professor Jay, Na Bado song download, download Na Bado MP3 song