![Ndivyo Sivyo ft. Chamelione](https://source.boomplaymusic.com/group2/M01/25/2C/rBEeqFu_DhqAGMUfAAFYEukO3kU759.jpg)
Ndivyo Sivyo ft. Chamelione
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2008
Lyrics
Ndivyo Sivyo ft. Chamelione - Professor Jay
...
aaah aaah aah Unavyothani ndivyo sivyo Maisha ni safari isiokuwa na likizo . na likizo yo-yo naongeza msistizo kama usinzo mtu mwenye matatatizo. mama yo-yo. yo-yo wangapi walikuwa nazo ona sasa hawana tena wamebaki na viulizo. vipi viulizo walioitwa maskini leo wamejipata imekua sivyo ndivyo eeee tusaidiane kwenye Raha na shida usimdharau mwenye njaa Kwa kuwa weee umeshiba weee umeshiba Maisha safari ndefu isio eleweka. leo kwako Una Lia mwenzako kule anacheka usifukuze juu mwenye nyumba ana gali kumbuka umaskini na utajiri zote hali .Unavyothani ndivyo sivyo sivyo ndivyo dunia ndivyo ilivyo kuna Raha na matatizo . kama Leo umepewa basi mshukuru mungu . na kama umekosa ongeza bidii na sio ndumba mwenzio akiwa anazama mrushie kamba . skia kilio cha mtu mzima bongo mbaka Uganda Unavyothani ndivyo sivyo Maisha ni safari isiokuwa na likizo na likizo yo-yo. naongeza msistizo kama usinzo mtu mwenye matatatizo mama yo-yo wangapi walikuwa nazo ona sasa Wana tena imebaki kuwa viulizo walioitwa maskini leo wamejipata imekua sivyo ndivyo sivyo ndivyo sivyo ndivyo. apana estimate learn to appreciate no matter situation must be tolerate don't get bydebed this time no matter time be late
Similar Songs
More from Professor Jay
Listen to Professor Jay Ndivyo Sivyo ft. Chamelione MP3 song. Ndivyo Sivyo ft. Chamelione song from album Aluta Continua is released in 2008. The duration of song is 00:04:21. The song is sung by Professor Jay.
Related Tags: Ndivyo Sivyo ft. Chamelione, Ndivyo Sivyo ft. Chamelione song, Ndivyo Sivyo ft. Chamelione MP3 song, Ndivyo Sivyo ft. Chamelione MP3, download Ndivyo Sivyo ft. Chamelione song, Ndivyo Sivyo ft. Chamelione song, Aluta Continua Ndivyo Sivyo ft. Chamelione song, Ndivyo Sivyo ft. Chamelione song by Professor Jay, Ndivyo Sivyo ft. Chamelione song download, download Ndivyo Sivyo ft. Chamelione MP3 song
Comments (7)
New Comments(7)
Adamytz
#Dunia ina raha na matatizo
Birdbuoyhljik
Joseph squared wanatesaaaaa
Lilykizzy donileR
fully
kenoh musindi
nice one
kila01
the best Tz and UG collabo
GORETH MATONDWAc0vfp
nice
Kenya