![Msinitenge ft. Q-Chief](https://source.boomplaymusic.com/group1/M01/21/48/rBEezlu-9YOAQAveAADVk7UqGkg184.jpg)
Msinitenge ft. Q-Chief
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2003
Lyrics
Msinitenge ft. Q-Chief - Professor Jay
...
kweli me Nina akili yakwamba nimeadhirika..
Mbio ziko ukingoni duniani nataabika..
Afya yangu inayumba nahara nakutapika..
Napiga goti natubu najuwa saa itafika..
Baada tuu yakupima nikagundua sio mzima..
Nasasa ninajukumu lakuokoa jamii nzima..
Hakuna asiyetambua gonjwa hili nilahatari..
Nilichofanya ndugu zenu niliwapasha habari..
Wengi walinitazama kwa macho yachinichini..
Ety kwakuwa ninaupungufu wakinga mwilini..
see lyrics >>Similar Songs
More from Professor Jay
Listen to Professor Jay Msinitenge ft. Q-Chief MP3 song. Msinitenge ft. Q-Chief song from album Mapinduzi Halisi is released in 2003. The duration of song is 00:05:16. The song is sung by Professor Jay.
Related Tags: Msinitenge ft. Q-Chief, Msinitenge ft. Q-Chief song, Msinitenge ft. Q-Chief MP3 song, Msinitenge ft. Q-Chief MP3, download Msinitenge ft. Q-Chief song, Msinitenge ft. Q-Chief song, Mapinduzi Halisi Msinitenge ft. Q-Chief song, Msinitenge ft. Q-Chief song by Professor Jay, Msinitenge ft. Q-Chief song download, download Msinitenge ft. Q-Chief MP3 song
Comments (8)
New Comments(8)
Adamytz
ABUDAUDI
heshima kwako mzeee!!!!!!
Goodluck Mapundaf5q7r
![Image | Boomplay Music](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/05/f155005dd9ab4b8db7d7ab4630623bae.jpg)
Gody_boy
MaKn
joseph mangu
tanzania onee
MATHIAS MWINGIRAflqh8
Prof get well soon
Millinga_ink
Get well soon Legend
johannesb6q7j
yes
Ngoma haichuji kwangu hii