
Tuonyeshe Yesu
- Genre:Gospel
- Year of Release:2025
Lyrics
Tuonyeshe Yesu - Jomireso voices Tz
...
BEAT
1. Tuonyeshe Yesu twataka tumwone eeh tuonyeshe Yesu na sisi tumwone, Wayunani wakasema njoo oohh Philipo tunamsikia tu twataka tumwone ×2
Chorus
Tafuta Daima kumjua huyu Yesu wa Philipo mimi nimeona mwenyewe nimeshuhudia aaahh, Tafuta daima kumjua kwani amenitoa mbali shangilia imba aminaaaaaaaaaa ×2
BEAT
2. Kumjua Yesu ni zaidi ya Vitabu kumfafanua katika maombi, yahitaji basi aingie ndani yako akubadilishe usijidanganye, Ewe Myunani shuka mavumbi shusha moyo wako miguuni pake, Ondoa kiburi Yesu ni Mpole jifunze tabia yake imjue eeeeehhh........
Chorus
Tafuta Daima kumjua huyu Yesu wa Philipo mimi nimeona mwenyewe nimeshuhudia aaahh, (Tafuuuta) Tafuta daima kumjua kwani amenitoa mbali (Amenitoa mbaliii) shangilia imba aminaaaaaaaaaa ×2
Similar Songs
More from Jomireso voices Tz
Listen to Jomireso voices Tz Tuonyeshe Yesu MP3 song. Tuonyeshe Yesu song from album Tuonyeshe Yesu is released in 2025. The duration of song is 00:04:54. The song is sung by Jomireso voices Tz.
Related Tags: Tuonyeshe Yesu, Tuonyeshe Yesu song, Tuonyeshe Yesu MP3 song, Tuonyeshe Yesu MP3, download Tuonyeshe Yesu song, Tuonyeshe Yesu song, Tuonyeshe Yesu Tuonyeshe Yesu song, Tuonyeshe Yesu song by Jomireso voices Tz, Tuonyeshe Yesu song download, download Tuonyeshe Yesu MP3 song